ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,755
- 7,311
Duh aisee ni hatari sana,inawezekana mpenzi wake wa zamani amerudisha majeshi na kumsihi asifunge ndoa na jamaa kwa sababu yeye ndio chaguo lake halaf bibie msomi akaingia line.Pamoja na elimu yake yote ameshindwa kufikiria kwa kutumia akili kwa sababu bora angekaa na jamaa amueleze tu hali halisi kwamba hataki kuolewa nae.
Ila majuto ni mjukuu,pole sana kwa braza aliye toroshewa ndege wake inauma sana
Ila majuto ni mjukuu,pole sana kwa braza aliye toroshewa ndege wake inauma sana