tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,895
- 19,774
Aliamua kubadili gia angani kama kamanda Mbowe, chezea wachaga wewe?!
mwanamke ni mpare bwana ndio mchaga
Aliamua kubadili gia angani kama kamanda Mbowe, chezea wachaga wewe?!
Umetia mimba wangapi?Mimi ndio maana napiga mimba kwanza halafu naoa
Msuya Sio Mchaga.Ukoo Wa Msuya Ni Wapare Wa Ugweno Wilaya Ya Mwanga.Hawa Sometimes Ni Watata Ila Sio Kama Huyo Alivyofanya.Japo Ana Masterz Ni Ile Ya Makaratasini Tu.Degree Za Pichu Hizo.Na Pia Kuna Uchawi Mmoja Wa Kipare Upo Wa Kufanya Hata Utoroke Kwenu Au Familia Yako.Unatupiwa Jini Ambalo Linatawala Akili Yako.Ila Kwa Upande Mwingine Binti Kuna Mtu Kamdanganya Mwenye Pesa.Mimi Ni Wa Kilimanjaro Nakiri Kua Dada Zetu Wanapenda Pesa Kuliko Utu Wa Mtu.
Better late than never
Hizo situation wote tunakutana nazo. Kuna mtu mnakuwa na malengo naye kabisa but mbeleni inakuja kuwa tofauti, mnaachana tu kiroho safi. Me naongelea wale ndugu zangu ana wasichana 6 afu wote wana engagement rings zake na anawahaidi ndoa, mtu unakuja kushtukia kapost tu wedding pictures zake. Not raiti aisee
Kuna headline kwenye website ya mwananchi kuwa amepatikana Arusha
Kutokana na wasiwasi kuwa prozo magu ataweza kushtukiza hapa ofisini kwetu hvyo sikuweza kuisoma ile habari yote.
Amen mpendwa, kama wewe ni "me" usijaribu kupromise vibinti vya watu utavioa afu mwishoni unavimwaga kwa kejeli. Wapo watakaokusamehe na wapo watakaodeal na wewe. Ingawa pia wapo tu wenye visasi vya binafsi
Hahaha sielewi huwa yanatukutaje hata. Kuna wanaume wapo smart kwenye extra curricular kiasi kwamba huwezi hata kuhisi kama mpo wengi.kwa hiyo Usishangae sisi wote 6 tukawa tumeshatambulishwa kwa ndugu zake. Ingawa sometimes pia kuna red flags nyingi tu tunazipuuziaga hadi yanatukuta yakutukuta. Na kuna wakati tunajua kabisa tupo wengi, ila tunajidanganya kwamba "I'm his number one" wengine watafuata. Ndo hayo ya dada zakoLakini na ninyi wanawake mnakuwa mna nichanganya hapo
hivi mpaka mtu anakuvalisha engagement ring si kuna kuwa na maisha flani
ya ukaribu zaidi ...sasa inakuwaje mpaka mnavalishwa wote
6 at once...? au ndio inakuwa yale mapenzi ya simu na whatsapp...?