Nafsi ilimsuta
Ha hahaaa kama lipumba. Au IT walimdukua
Nafsi ilimsuta
Unadhani hizi ni zile harusi za mandazi na chai ya rangi?
Who knows...may be she was forced, abducted, or whatever. Til she's found and has talked, it's wise to preserve the opinions.
Wapendwa kwa kukurupuka kwenye conclusion ya magazeti ya udaku sio sawa. Jiulize kwanza kilikuwa ni choo cha shimo ambacho hakijapauliwa?! Jerry mjini bado vipo hivi? Magazeti ya Mkenge yasituingize mjini na kujump kwenye conclusion. What if alikuwa kidnapped?
Safi kabisa Joseph akomae naye amshtaki. Kama hakutaka ndoa hakuwa na haja ya kusumbua watuIf she was abducted / kidnapped , then who did so..?
what was the motive behind ..?
why she didn't ask for help from the ppl who where
nearby ' around that area ..?
But I am telling u that the end will come to justify the means.
coz the bride groom said that, he will proceed to search for
her by hooks or crooks coz she cant do such a ignominious event
before his parents and the society at large...she will pay the expense.
ahaaa....basi tu, maana imenigusa sana kwani tuliandaa ukumbi kwa kila kitu.
Hawakutakiwa kuwa pamoja hao huwez jua Mungu kamuepusha na nn ndugu yako. Pesa inatafutwa sio uhai etii
so u want to justify that everything happening
in this world there is God wishes..?
kama ndivyo, basi ampanguse machungu jamaa japo
kwa kulipa gharama nusu kwa nusu kisha ndo asepe.
Huwezi kujua mara nyingine dada zetu wako kimitego kupima upepo yawezekana alikuwa na bwn mwingine, aliposikia katangaza ndoa nae akatishia kumharibia, hivyo akaamua kwenda kwake aachane na teacher
Sio vyote vya Mungu. Vingine vya shetani. Bt Mungu amtie nguvu huyo kaka. And hata akirudishiwa pesa haito ondoa machungu yake. Amuombe Mungu tu sababu Mungu hajawahi shindwaaa hata kwa sekunde. Halafu ww ndio muhusika nn mbona una machuguuu natania ucje nidai pesa yako bure ah ah ah