Bibi amuita Magufuli 'Mungu' baada ya kupewa msaada

Bibi amuita Magufuli 'Mungu' baada ya kupewa msaada

FRANCIS DA DON,
KAtika mambo ambayo Mungu hana msalia mtume ni binadamu kujikweza na kuanza kushangikia kuitwa Mungu.

Adhabu yake kwenye Bible ni kifo.
Ndio ninavyojua mimi.

Kuna mfalme walimuita Mungu. Mungu mwenyewe akamuua.

Sasa ngoja tuone labda Lema dream come true.
KUPENDA SIFA NA KUJIITA MUNGU NI VITU VIWILI TOFAUTI. Huyu wetu hajajiita ni MUNGU ZAIDI NI RAIS ALIYECHAGULIWA KWA WINGI WA KURA. Ila mtu akisifiwa hufurahi hata wewe ni ubinadamu. Ndio sababj tunamsifia MUNGU NA ZAIDI KUMWABUDU.
 
Unanikumbusha mbali, nilienda kijiji flani Mwika nikasalimiwa na wabibi shikamoo dah nliishiwa pozi
Ndiyo maana nimesema ni kutokuwa na exposure ya kutosha. Haya ni mambo ya kawaida kabisa vijijini lakini watu wengine wanajifanya hawajui mazingira ya vijiji vyetu.
 
Wewe usiyejua kujiongeza ndio una shida.

Mtu mzima kumsalimia kijana hua ni kumkebehi sababu kijana hajamsalimia.

Hukufundishwa kusalimia wakubwa ukiwa kwenu?

Du. You are really dumb my dear. Tunazungumzia mazingira ya vijijini mazee! Hujawahi kufika vijijini?
 
FRANCIS DA DON,
KAtika mambo ambayo Mungu hana msalia mtume ni binadamu kujikweza na kuanza kushangikia kuitwa Mungu.

Adhabu yake kwenye Bible ni kifo.
Ndio ninavyojua mimi.

Kuna mfalme walimuita Mungu. Mungu mwenyewe akamuua.

Sasa ngoja tuone labda Lema dream come true.
Kwani jamaa amejiita ama ameitwa....
usikurupuke kizembe
 
Yes,hivi ndivyo vijiji vya Tz vilivyo lkn kama ulikua unaongelea ukosefu wako wa adabu kwa wabibi mpk wakusalimie shikamoo then hilo ni tatizo lako la maadili.
Na reference ya ku-justfy madai yako ni huyu member.....! Janga....!
 
Umesema ukweli mtupu. Nadhani wengine wanaandika tu bila kusikiliza clip kwa umakini na utulivu. Kuitwa mungu wa pili pia rais alijibu "hapana". Tumkosoe kwa mengine ambayo tuna uhakika kakosea, si kutunga uongo hata penye ukweli wa wazi
Mleta maada ulaaniwe maana umeandika uongo uongo. Dkt Magufuli (Ph.D) alipigiwa magoti na yeye akakataa kabisa kata kata kuwa yeye si Mungu na yule mama akasema wewe mungu wa pili na Dkt Magufuli keshasema yeye ni binaadamu hapaswi hata kupigiwa magoti, tena Dkt Magufuli kaongea kwa unyenyekevu huku yule mama akiinuliwa na wasaidizi wa rais kusisitiza na konesha yeye Dkt Magufuli si Mungu bali ni binaadamu. Ila wewe ulivyoandika kiuongo na baadhi ya mijitu mijinga ambayo haijasikiliza video yote inashabikia uongo na kutoa maoni ya uongo, mlaaniwe wote wenye kutumia uongo kueneza uongo.
 
Back
Top Bottom