Biashara za kwenye instagram na totoz

Biashara za kwenye instagram na totoz

Hili swala mbona lipo kabisa tangu kitambo, kuna wadada wana mtandao wao kabisa na wamegawanyika arusha, moshi, dar na mwanza (mimi nawafahamu karibia wote), kila kambi waliyoweka wana usafiri kama wa dar wao wana opa, na nadia , hao wa mwanza wao wana opa.

So ipo hivi kwenye magari yao unakuta wamenunua nguo tofauti tofauti hasa za kiume na zinazokuwa nina trend kwa wakati huo, hupost insta na kuhaidi kukuletea mpaka ulipo, ukisema upo mwanza kama aliyepost ni wa dar anakuconnect na mshirika wake wa mwanza, na hufanya delivery kwa mtu baada ya kuikagua account yake, wakiona unaonesha una hela haichukui hata masaa matatu kukufikia.kama upo arusha napo watafanya hivyo hivyo.

Na mara nyingi hupendelea mkutane nyumbani ama unapoishi, kama ni oficn hupenda mfanyie biashara ndani ya gari, ukiingia ndani ya gari kama wapo wawili lazima mmoja umkute kavaa kihasara kama ni rijali lazima ukitoka uombe mawasiliano, ndio hutangaza dau, na unaamua uwale wote au mmoja ni ww na fungu lako tu...Hawa wadada wanamaliza sana maboom ya wanafunzi wakware na madau yao ni kuanzia 50000 kupanda juu...ni hayo tu kwa uchache

Tanzania ya leo ni tofauti na uijuavyo kuna biashara za kimafia zinaendelea ukiambiwa huwezi amini.
 
Habarini wadau, hivi naskia kua ni rahisi kuwapata baadhi ya totoz ambao huwa wanauza vitu kama vile mashuka, mashati na nguo kwenye mitandao km vile instagram.

Wengi wao huwa wanasema wanatoa home deliver yaan anakuletea mzigo mpaka nyumbani kwako, sasa naskia wanaume hapo ndo huwa wanapata muda wa kumwaga sera maana akishaingia ndani ya nyumba unamtangazia dau na anakua hawez kukataa kama dau ni kubwa hivyo unakua unachukua totoz kiulaini.
Inamaana wewe ni DOMO ZEGE AU?
 
daah mimi nilishangaa sana mkuu....afu ukiangalia baadh ya hizo totoz zinakua high quality kabisa sema ndo hvyo wanatumia hiyo gia
Kwa hiyo ulitolewa upepo kilaiiiniiiiiii..,.,ati high quality.
 
Kwanini mnawafanyia hvyo hao mabinti wakati mnajuwa ni wadhaifu? Waacheni wafanye biashara moja na si kuwaingiza kwenye biashara nyingine .
Hiyo ni tijara kwa watoto wa kike,sababu wengi wao hupata waume wa kuwaoa tena vibosile,ukitaka kujua habari kamili Sister we njoo pande za PM,nakuahidi sintokutongoza ila nitakupa muhtasari jinsi kina matajiri nchini wanavyotumia watoto wa kike kutengeneza pesa,we jaribu kuja PM ukiona naleta mzaha si unanipotezea tu au vipi?
 
Si utan hii kitu ipo me wife katika mtandao yao uko kuna nguo aliiyona bas wenyewe wakubalia mwisho wa siku wife akaniambia naomba uwasiliane na uyu dada kuna mzigo atakupa utampa kias frulan nikasema poa tuma namba bas nikamtafuta uyu mtu tukakutana da! Cut kwelili nikachukua mzigo nikasepa bas tangu apo zikaanza sms mara ooh! Mzogo umeingia nimekuletea nguo za mazoez yan ikawa shida alaf mbaya zaid wife alimba yang ya ukwell nikaja nika mbrock asa ingekua kaja hom warai ningemziba
Acha kamba weweeeeeeee.
 
Inabidi tu nifanye biashara ya madumu ya maji.....unayafwata mwenyewe kibandani.
Aaaah Sister kwa nini uniangushe hivyo bhana,mambo yoote mimi nita provide hebu acha mambo ya kuuza maji bhana.
 
Dili la uzinzi.......
Mamii sijui kama unajua historia,tangu miaka 2000 iliopita uchi ni biashara kongwe kuliko biashara yoyote unayoijua wewe na mwingine duniani hapa,ya pili ni biashara ya pombe ,hizi mbili zinaendana na kubebana mpaka leo hii ulimwenguni hapa,wanawake asilimia kubwa wanauza uchi wao kwa njia tofauti (1)wanajiuza waziwazi na wanakwambia bei ya uchi(2)wanajiuza kwa njia ya kukuonesha wamekupenda ilihali wamegundua una fedha(3)wanajiuza kwa kujifanya wana urafiki na wewe nakujitoa kafara endapo utataka ngono,yaani wanakuhurumia usiwe mpweke na wako tayari kuja kukupikia,kukufulia na kukupanulia uchi huku wakijifanya wanakuhurumia kwa kuwa una pesa(4)wanajilengesha kwako kila wakikuona,yaani wanakwambia eg kha Karanja wewe unajua kuvaa tena unajipenda hata siamini huna mwanamke,maana Karanja kila nikikuona unapendeza sana kwa hiyo lazima una demu anakuhangaikia tafadhali usinifiche bhana(jiulize na wewe kama unapendeza sio lazima uwe na mwanamke ila anamaanisha kwa nini hunitongozi hali ya kuwa wewe una fedha?na mimi niko tayari kukuuzia kaima?),(5)Karanja ukiwa na shida yoyote usisite kuniambia,si unajua mimi ni kama sister wako yaani kila nikikuona namkumbuka kaka Erick kule Moshi,yaani mmefanana mpaka nashindwa kujizuia nikikuona lazima nikushike mkono kukusalimia kwani nahisi ni mkono wa kaka Erick(anakupa mkono huku anakubofya na kidole katika kiganja kuashiria ngono).Ok akili kichwani kwa sisi binadamu,je sio biashara hiyo?
 
Hili swala mbona lipo kabisa tangu kitambo, kuna wadada wana mtandao wao kabisa na wamegawanyika arusha, moshi, dar na mwanza (mimi nawafahamu karibia wote), kila kambi waliyoweka wana usafiri kama wa dar wao wana opa, na nadia , hao wa mwanza wao wana opa.

So ipo hivi kwenye magari yao unakuta wamenunua nguo tofauti tofauti hasa za kiume na zinazokuwa nina trend kwa wakati huo, hupost insta na kuhaidi kukuletea mpaka ulipo, ukisema upo mwanza kama aliyepost ni wa dar anakuconnect na mshirika wake wa mwanza, na hufanya delivery kwa mtu baada ya kuikagua account yake, wakiona unaonesha una hela haichukui hata masaa matatu kukufikia.kama upo arusha napo watafanya hivyo hivyo.

Na mara nyingi hupendelea mkutane nyumbani ama unapoishi, kama ni oficn hupenda mfanyie biashara ndani ya gari, ukiingia ndani ya gari kama wapo wawili lazima mmoja umkute kavaa kihasara kama ni rijali lazima ukitoka uombe mawasiliano, ndio hutangaza dau, na unaamua uwale wote au mmoja ni ww na fungu lako tu...Hawa wadada wanamaliza sana maboom ya wanafunzi wakware na madau yao ni kuanzia 50000 kupanda juu...ni hayo tu kwa uchache

Tanzania ya leo ni tofauti na uijuavyo kuna biashara za kimafia zinaendelea ukiambiwa huwezi amini.
duuuh aiseee..mwana hata mimi hao nawataka aiseee daah,,,
 
Si utan hii kitu ipo me wife katika mtandao yao uko kuna nguo aliiyona bas wenyewe wakubalia mwisho wa siku wife akaniambia naomba uwasiliane na uyu dada kuna mzigo atakupa utampa kias frulan nikasema poa tuma namba bas nikamtafuta uyu mtu tukakutana da! Cut kwelili nikachukua mzigo nikasepa bas tangu apo zikaanza sms mara ooh! Mzogo umeingia nimekuletea nguo za mazoez yan ikawa shida alaf mbaya zaid wife alimba yang ya ukwell nikaja nika mbrock asa ingekua kaja hom warai ningemziba
Mkuu ungeendelea nae tu
 
duuuh aiseee..mwana hata mimi hao nawataka aiseee daah,,,
Mkuu ni pesa yako tu na ni visu hatari, ukiwaona lazima ujiulize wamekosa nini hawa wadada, ila ndio ivyo wapo kibiashara.
 
james delicious nae ana home delivery anauza rays vilainishi😉

03112b7313cf84d554eb99904968a14c.jpg
 
Ngoja Leo Namimi Niache Uzoba nijiunge insta Sasa nimeipuuza vyakutosha.
 
Back
Top Bottom