Sibonike
JF-Expert Member
- Dec 23, 2010
- 17,297
- 18,047
Malaika unatafuta nini kwenye thread ya mashetani?Mashetani wako kazini
Malaika unatafuta nini kwenye thread ya mashetani?Mashetani wako kazini
Wengine wanapita ofisini wakiuza soksi na chupi za wanaume tu. Just imagine. Wauzaji wadada wazuri. Biashara kongwe kuliko zote Inakuja kwa njia tofauti.
Nimekuja kukuombea ww,unayependa zinaa kama maji ya kunywaMalaika unatafuta nini kwenye thread ya mashetani?
Anza kujiombea wewe na ukoo wako wote wapenda zinaa wakubwa lakini mnajifanya hampendi.Nimekuja kukuombea ww,unayependa zinaa kama maji ya kunywa
DuuuhTanzania ya viwanda itakuja kweli??
au ya viwanda vya kutengeneza viuno?? maana ndio akili ya raia wengi ilipo
hahaaTanzania ya viwanda itakuja kweli??
au ya viwanda vya kutengeneza viuno?? maana ndio akili ya raia wengi ilipo
Kinachozungumziwa ni kulana wala sio kuwa mbali dhidi ya mwenzio.Ila wenzetu wako mbali tofauti na sisi.......
Ma binti wengi kutoka Africa wako kwa mtandao huu Escorts in AfricaYaan wale dada ni mwendo wa kugawa tuu...wanafanya biashara mbili kwa wakati mmoja
ahaha..kumbe unawajuaaaUtasikia. Tunatuma mikoani