Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,690
- 4,919
Wewe huna tofauti na mimi huwa naichukulia ya Kitoto toto tu na ujinga ujinga mwingi wa type za Kina Le-mubebizz.Labda kwa sababu mie mshamba hiyo instagramu nafanya kuisikia tu, sijawahi kuvutiwa nayo
Kuanzia Leo nimeamua kujiunga huko ili niwe Tomaso.