makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,522
- 108,713
Hiyo inaitwa 2 in 1
MOJA INAITWA BIASHARA HURU NA YA PILI INAITWA BIASHARA HURUAKwahiyo kunakuwa na biashara mbili........
Basi hatari....mie nilidhani wanatumia hiyo mitandao ili kuitangaza biashara yake zaidi na kupata wateja kumbe ni 2in 1.MOJA INAITWA BIASHARA HURU NA YA PILI INAITWA BIASHARA HURUA
ndo hapo ujiulizee....yaan ni mwendo wa kugegegeda tuu ukiwa na hela yakoNi kweli, kwa sababu wengi wa wauzaji ni wanawake na wanauza nguo za kiume tu. Hawauzi za wanawake wenzao au za watoto.
double decker wanasema...lakin sio wote jamanBasi hatari....mie nilidhani wanatumia hiyo mitandao ili kuitangaza biashara yake zaidi na kupata wateja kumbe ni 2in 1.
vipi unataka uagize mashati au mashukaLiwezekanalo leo lisingoje kesho
Samahani, hivi ulivyoandika ndio huwa unaongea hivyo hivyo?Si utan hii kitu ipo me wife katika mtandao yao uko kuna nguo aliiyona bas wenyewe wakubalia mwisho wa siku wife akaniambia naomba uwasiliane na uyu dada kuna mzigo atakupa utampa kias frulan nikasema poa tuma namba bas nikamtafuta uyu mtu tukakutana da! Cut kwelili nikachukua mzigo nikasepa bas tangu apo zikaanza sms mara ooh! Mzogo umeingia nimekuletea nguo za mazoez yan ikawa shida alaf mbaya zaid wife alimba yang ya ukwell nikaja nika mbrock asa ingekua kaja hom warai ningemziba
Samahani, hivi ulivyoandika ndio huwa unaongea hivyo hivyo?
subiri kwanza mfungo uishe blazaNgoja ni download Instagram Nilikuwa na kazalau aka app kumbe dili
Watu wanaumizwa wewe unachekelea haya basi we endelea tu.Heeee[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
VIPI WE HUTAKI KUWA MJASIRIAWALI?Kwahiyo kunakuwa na biashara mbili........
Pengine biashara moja hailipi.Kwanini mnawafanyia hvyo hao mabinti wakati mnajuwa ni wadhaifu? Waacheni wafanye biashara moja na si kuwaingiza kwenye biashara nyingine .
Hakuna dhaifu katika biashara.Ambayo hii ya pili ni wewe mwanaume unakuwa umeaianzisha na ukikutana na dhaifu basi unakuwa umejipatia toto.
yah ni kweli aisee maana jinsia zote mbili zinatoa ushirikiano. ndo maana hapa mjini mtu utaona anauza mashati tuu lakin anaendesha usafiri wa nguvuHakuna dhaifu katika biashara.