Biashara za kwenye instagram na totoz

Biashara za kwenye instagram na totoz

Ambayo hii ya pili ni wewe mwanaume unakuwa umeaianzisha na ukikutana na dhaifu basi unakuwa umejipatia toto.
exactly....inategemea maana na wengine wanakua na mitego flan hv,,,yaan inakua kama ni kuwindana hv kila mtu anamwinda mwenzzake
 
Si utan hii kitu ipo me wife katika mtandao yao uko kuna nguo aliiyona bas wenyewe wakubalia mwisho wa siku wife akaniambia naomba uwasiliane na uyu dada kuna mzigo atakupa utampa kias frulan nikasema poa tuma namba bas nikamtafuta uyu mtu tukakutana da! Cut kwelili nikachukua mzigo nikasepa bas tangu apo zikaanza sms mara ooh! Mzogo umeingia nimekuletea nguo za mazoez yan ikawa shida alaf mbaya zaid wife alimba yang ya ukwell nikaja nika mbrock asa ingekua kaja hom warai ningemziba

Wife wako pia ka huyu muuzaji angekua kidume, ata usingejua ishu, angefanyiwa home delivery bila we kujua.
 
Ngoja ni download Instagram Nilikuwa na kazalau aka app kumbe dili
ndo hivyo mkuu..ndo maana utaona mtu anauza mashuka na mashati lakin ana usafiri(gari) wa maana na popote ulipo anakuletea mzigo hata kama shati moja..asa jiulize faida hyo mpaka ya kununulia mafuta kwa shati moja inapatikana wapi..maana faida unaeza kukuta elfu 3 kwa shati asa hyo hela ya mafuta ya gari ya kukuletea mzgo inatoka wapi...mjin hapa man
 
Ni kweli, kwa sababu wengi wa wauzaji ni wanawake na wanauza nguo za kiume tu. Hawauzi za wanawake wenzao au za watoto.
 
exactly....inategemea maana na wengine wanakua na mitego flan hv,,,yaan inakua kama ni kuwindana hv kila mtu anamwinda mwenzzake
Inabidi tu nifanye biashara ya madumu ya maji.....unayafwata mwenyewe kibandani.
 
daaaaaah Tanzania yangu unaelekea wapi huko mbona twaangamia
Tulishaambiwa tutaangamia kwa kukosa maarifa.....na ndicho kilichopo hatuna maarifa na tutaangamia sana.
 
Back
Top Bottom