mwita ke mwita
JF-Expert Member
- Aug 13, 2010
- 8,058
- 3,765
tumeni sampuli ya wadada watano wa huko Insta
Ulifanya utafiti?Wamarekani wanaongoza kwa uzinzi ulimwengu mzima
walisha wahi kukuletea bidhaa zaodaah mimi nilishangaa sana mkuu....afu ukiangalia baadh ya hizo totoz zinakua high quality kabisa sema ndo hvyo wanatumia hiyo gia
Na watanzania tuko nyuma (wa mwisho) kwa uzinzi ulimwengu mzimaWamarekani wanaongoza kwa uzinzi ulimwengu mzima
yaah man....yaan unapata totoz za ukweliiiiwalisha wahi kukuletea bidhaa zao
cha maana angalia tu wanaouza mashati au mashuka afu jifanye unanunua then unaanza kutongozawalisha wahi kukuletea bidhaa zao
poa nitalifanyia kazicha maana angalia tu wanaouza mashati au mashuka afu jifanye unanunua then unaanza kutongoza
Habarini wadau, hivi naskia kua ni rahisi kuwapata baadhi ya totoz ambao huwa wanauza vitu kama vile mashuka, mashati na nguo kwenye mitandao km vile instagram.
Wengi wao huwa wanasema wanatoa home deliver yaan anakuletea mzigo mpaka nyumbani kwako, sasa naskia wanaume hapo ndo huwa wanapata muda wa kumwaga sera maana akishaingia ndani ya nyumba unamtangazia dau na anakua hawez kukataa kama dau ni kubwa hivyo unakua unachukua totoz kiulaini.
Tanzania ya viwanda itakuja kweli??
au ya viwanda vya kutengeneza viuno?? maana ndio akili ya raia wengi ilipo
Hivi dau kubwa ni kiulaini?Habarini wadau, hivi naskia kua ni rahisi kuwapata baadhi ya totoz ambao huwa wanauza vitu kama vile mashuka, mashati na nguo kwenye mitandao km vile instagram.
Wengi wao huwa wanasema wanatoa home deliver yaan anakuletea mzigo mpaka nyumbani kwako, sasa naskia wanaume hapo ndo huwa wanapata muda wa kumwaga sera maana akishaingia ndani ya nyumba unamtangazia dau na anakua hawez kukataa kama dau ni kubwa hivyo unakua unachukua totoz kiulaini.
Laki mbili are serious jamaa kampa malaya laki 2 kwa vitu vya dk duuuuuyaah sio wote,,inategemea na dau lakin maana mshakji wangu mmoja alianza na dau la laki mbili na kiukweli demu wala hakubisha na jamaa akamla
yaaah mtoto alikua wa ukweliLaki mbili are serious jamaa kampa malaya laki 2 kwa vitu vya dk duuuuu
Ulilala naeyaaah mtoto alikua wa ukweli