Biashara za kwenye instagram na totoz

Biashara za kwenye instagram na totoz

biashara tu ya mashuka lakin hlo gari analoendesha balaa....kumbe kuna baadh yao wanatumia viuno
 
Nadhani ni wachache sanaaa
Sio wote
Lakini kwani kuna tofauti gani? coz tendo ni lile lile tu,iwe kwa insta gram kuuza mashati au kwa mapenzi ya dhati au kwa kuolewa,ili mradi ni ndi ndi ndi mauroda ni yale yale.
 
yah ni kweli aisee maana jinsia zote mbili zinatoa ushirikiano. ndo maana hapa mjini mtu utaona anauza mashati tuu lakin anaendesha usafiri wa nguvu
Kabisa tena bila kuchechemea maana mtaji anao na bidhaa adimu anayo,sasa kwa nini akonde wakati akijituma kutoa huduma adimu wala haichukui dakika mbil coz sasa hivi wanaume wameathirika na chips mayai na Azam cola,kwa hiyo ni maregea.
 
duuhh,,,,khy kwa siku anaeza akapata wateja hata wanne na asichoke,,,
 
duuhh,,,,khy kwa siku anaeza akapata wateja hata wanne na asichoke,,,
Aaaah achoke wapi?,wakati wanaume wengi siku hizi kabla hajamenyewa pipi yeye tayari kautupa tri tri triiiiii ndi ndi ndi halafu buuuuuuuuuuuuuu.
 
Habarini wadau, hivi naskia kua ni rahisi kuwapata baadhi ya totoz ambao huwa wanauza vitu kama vile mashuka, mashati na nguo kwenye mitandao km vile instagram.

Wengi wao huwa wanasema wanatoa home deliver yaan anakuletea mzigo mpaka nyumbani kwako, sasa naskia wanaume hapo ndo huwa wanapata muda wa kumwaga sera maana akishaingia ndani ya nyumba unamtangazia dau na anakua hawez kukataa kama dau ni kubwa hivyo unakua unachukua totoz kiulaini.
jamani punguze mzuka wa uzinzi duhhhhh
 
Back
Top Bottom