Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,654
- 7,943
6. LightsBinafsi kizazi cha sasa naona kama haki-enjoy kabisa. Watu wanakaa tu pub wanatandaza beers na pombe kali nyiiiingi, no dancing ni kutikisa vichwa tu na kushikashika warembo.
What a lazy life!?
Kipindi hicho unakula bia mtaani ikifika saa sita mnahamia club huko hata ukitaka kuongea labda upaza sauti maana ni sound la kufa mtu, mwendo wa ku-dance.
The only time muziki unasimama labda kuwe na show baaas. Zaidi ya hapo ni kucheza.
Sifa kuu za night club
1. Ni indoor
2. Privacy ya kutosha, kulikuwa hadi na VIP rooms
3. Well sound proofed
4. Dance floor ya maana
5. Nyimbo mchanganyiko....inafikia mahali mnajua kabisa kuwa muda flani ni muda wa bongo fleva na dj fulani ndio anapiga, muda fulani ni oldies na mnajua mkali wa oldies ni nani ukicheck kwa dj chamber unakuta kweli ni yeye.
No talks ni muziki kwa kwenda mbele.
Siku hizi sioni kama kuna starehe. Watu wamejikita kwenye mashindano ya kunywa na kupost kwenye oage zao.
Taa za maana ni sifa kuu mmojawapo ya night clubs, kila demu anaonekana nzuri.