Nibiru
JF-Expert Member
- Jan 10, 2021
- 614
- 844
Kupata siti tu yenyewe inabidi ununue kinywaji cha at least 200KMaison inajulikana. Si ndio whiskey 700,000/- huko?
Kupata siti tu yenyewe inabidi ununue kinywaji cha at least 200KMaison inajulikana. Si ndio whiskey 700,000/- huko?
Si mchezo.Kupata siti tu yenyewe inabidi ununue kinywaji cha at least 200K
Element ya zamani sana and it's not my cup of tea.Ukienda uko Masaki jaribu na Element.
Beer sh ngapiMasaki iyo mzee, Chole Road, oya ushuani hatari. Huko nilishasema sikai nikaenda tena.
Basi mkuu acha. Kama umeanza ulizia bia acha tu. 🙌🙌🙌Beer sh ngapi
Sio mbaya 😎Summary ya Menu ya vinywaji hii hapa: Aione na RRONDO View attachment 2934372
Msosi hii hapa..Lete mkuu
Hapana aisee kuniuzia soda elfu 5 wakati Kitambaa napata local beers mbili hapo.Sio mbaya 😎
Mara moja moja unaushtua umaskiniHapana aisee kuniuzia soda elfu 5 wakati Kitambaa napata local beers mbili hapo.
Mbona una hasira sana? Relax!! Usiyafanye maisha kuwa magumu hivyo!!Zipotee tu kwani zina faida gani
Kiingilio bei ganAende hapo Celebrity Club Mwai Kibali Rd. Kama anataka kudance
Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.www.instagram.com