Biashara ya miili Iringa noma

Biashara ya miili Iringa noma

Wewe jamaa ni mgeni sana wa biashara ya ukahaba maana katika sehemu ambazo ukahaba hauna kasi ni Iringa,hapo Holiday ni sehemu ya kawaida sana huwezi fananisha na vijiwe vikubwa kama Kimboka au Sinza kwa kifupi mpaka leo Iringa hakuna hata mtaa ambao malaya wanajipa barabarani hapo Holiday kuna vichangu vichafu havifiki hata 20 tena wengi na wahudumu,kwa wale wateja wa hiyo bidhaa nawaambia Iringa ni sehemu kame kama jangwani tu dadadeki labda uvizie wanachuo.
 
kule mwanza maeneo ya villa park, wale walinzi wa maegesho ya magari wanavibox, unalipia mia tano ya box unatandikiwa kwenye mtaro shughuli inaanza.
Villa Park... Nyegezi
 
Wewe jamaa ni mgeni sana wa biashara ya ukahaba maana katika sehemu ambazo ukahaba hauna kasi ni Iringa,hapo Holiday ni sehemu ya kawaida sana huwezi fananisha na vijiwe vikubwa kama Kimboka au Sinza kwa kifupi mpaka leo Iringa hakuna hata mtaa ambao malaya wanajipa barabarani hapo Holiday kuna vichangu vichafu havifiki hata 20 tena wengi na wahudumu,kwa wale wateja wa hiyo bidhaa nawaambia Iringa ni sehemu kame kama jangwani tu dadadeki labda uvizie wanachuo.
Upo sahihi kabisa mkuu. Iringa ndio nimeshuhudia kahaba akikataa mwanaume kwa mara ya kwanza. Nikamuuliza wewe ni mfanyabiashara gani unayeogopa mteja???
 
Hivi ambiance bado kumechanganya au totoz wamepungua?
 
That's true Iringa ufuska haupo ila nashangaa maambukizi yapo juu
 
Kuna factors nyingi kaka,Circumcision hali ya hewa ongeza na watoto waliokuwa wanachukuliwa kufanya kazi za house girls ndio zimesababisha maambukuzi kwa kiwango hicho..
 
tafsiri ya malaya ni ipi? kwani hao wanaojiuza wanatofauti gani na wale wa mtaani unaowatumia wewe
wapo hata maofisini tunao tunakulaga ofisi nzima ukimuona huwezi kumdhania. Tena anatongoza wanaume mwenyewe na misosi anawanunulia, nae ni malaya kama wale wa kitaa.
 
Hivi ambiance bado kumechanganya au totoz wamepungua?
Sio kivileeee sana wapo underground tu maeneo yale wamesogea maeneo ya La Chaz kule.

That's true Iringa ufuska haupo ila nashangaa maambukizi yapo juu
Makete ilikua inafanya Iringa waonekane wako juu kwenye maambukizi nadhani wame-drop baada ya Makete kua iko mkoa wa Njombe.
 
Sio kivileeee sana wapo underground tu maeneo yale wamesogea maeneo ya La Chaz kule.

Makete ilikua inafanya Iringa waonekane wako juu kwenye maambukizi nadhani wame-drop baada ya Makete kua iko mkoa wa Njombe.
La chaz nilikua juzi tu mbona pamepoa sana sikuwaona machangu au mpaka weekend maana ilikua ni siku ya week
 
Iringa na hali ya hewa inachangia, uwezo Wa watu kununua heater ya umeme ni mdogo sana
 
Nilistuka... heading ya uzi! nikafikiria Jimbo la Mchungaji Mbunge Mh. Msigwa linavamiwaje kirahisi na maharamia na makatili kwa miili ya watu!!! Heading ni sentensi tata mno na 'kinoma'!
 
Back
Top Bottom