Biashara ya miili Iringa noma

Biashara ya miili Iringa noma

Mimi Naona Iharalishwe Tu Wawe Wanalipa Na Kodi Mbona Tunapokea Misaada Ambayo Ndani Yake Kuna Kodi Za Machangudoa. ILA HAPA KIHESA NOMA NENDA MPAKA KONTENA LA RUCO PALE NDIO UWIII SOGEA MPAKA VIP JITUPE MPAKA RAHAPATE NDIO UFULO USISEME. ILA IRINGA UKIMWI NDIO HAUJI KUISHA.
Dawa za kupunguza makali ya Virusi zinapatikana BURE kabisa.
 
Mimi Naona Iharalishwe Tu Wawe Wanalipa Na Kodi Mbona Tunapokea Misaada Ambayo Ndani Yake Kuna Kodi Za Machangudoa. ILA HAPA KIHESA NOMA NENDA MPAKA KONTENA LA RUCO PALE NDIO UWIII SOGEA MPAKA VIP JITUPE MPAKA RAHAPATE NDIO UFULO USISEME. ILA IRINGA UKIMWI NDIO HAUJI KUISHA.
na efd ihusike
 
Wewe jamaa ni mgeni sana wa biashara ya ukahaba maana katika sehemu ambazo ukahaba hauna kasi ni Iringa,hapo Holiday ni sehemu ya kawaida sana huwezi fananisha na vijiwe vikubwa kama Kimboka au Sinza kwa kifupi mpaka leo Iringa hakuna hata mtaa ambao malaya wanajipa barabarani hapo Holiday kuna vichangu vichafu havifiki hata 20 tena wengi na wahudumu,kwa wale wateja wa hiyo bidhaa nawaambia Iringa ni sehemu kame kama jangwani tu dadadeki labda uvizie wanachuo.
Umeongea kweli. Iringa hakuna sehemu ya machangudoa kama dar. Wale ni wahudumu wa bar
 
Kama Buguruni, Kimboka na Sinza Dar; mjini Iringa ukahaba wazi wazi tena huku ni zaidi ya Dar. Ufuska unafanywa mchana kweupe. Nenda Holiday-in bar Frelimo bei ni kuanzia 15,000 na kuendelea hapo ni pamoja na room. Pia kuna tetesi kuwepo madanguro ya siri maeneo mengi ikiwemo Kihesa.

Serikali ihalalishe tu uuzaji wa miili maana imefumbia macho suala hilo.
Angalau wapate kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawashangaa mnaosema hawalipi kodi hawa malaya.
Kodi wanalipa tena ndefu tu kwa njia haramu, yaani ile kodi inaishia kwenye mikono ya wachache.
Kuna siku nilienda kupata hiyo huduma sehemu fulani nikaona mtu anapitia chumba kwa chumba kuchukua kodi, nilipomwuliza mteja wangu akasema huyo mtu ni kiongozi wa mtaa na huwa anchukua sh 2000 kila siku na kwa kila mmoja, eti wasipotoa, anaenda kutingisha kiberiti serikalini wawatimue.
Kwa hiyo kama mtaani kwake kuna malaya 30, atapata sh 60,000 kwa siku sawa na 1,800,000 kwa mwezi yaani mishahara ya walimu sita analamba mjanja mmoja kwa njia ya panya.
Acha zalau fala wewe unauhakika walimu wanalipwa 3k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Buguruni, Kimboka na Sinza Dar; mjini Iringa ukahaba wazi wazi tena huku ni zaidi ya Dar. Ufuska unafanywa mchana kweupe. Nenda Holiday-in bar Frelimo bei ni kuanzia 15,000 na kuendelea hapo ni pamoja na room. Pia kuna tetesi kuwepo madanguro ya siri maeneo mengi ikiwemo Kihesa.

Serikali ihalalishe tu uuzaji wa miili maana imefumbia macho suala hilo.
Si maadili ya love Afrika
 
Umesema holiday inn na Kimboka. Pengine ni wapi penye dada utamu mkuu
 
Biashara kongwe kuliko zote duniani.

Sent using my NOKIA torch
 
Kama Buguruni, Kimboka na Sinza Dar; mjini Iringa ukahaba wazi wazi tena huku ni zaidi ya Dar. Ufuska unafanywa mchana kweupe. Nenda Holiday-in bar Frelimo bei ni kuanzia 15,000 na kuendelea hapo ni pamoja na room. Pia kuna tetesi kuwepo madanguro ya siri maeneo mengi ikiwemo Kihesa.

Serikali ihalalishe tu uuzaji wa miili maana imefumbia macho suala hilo.
Wakabidhiwe na machine za efd ili watupatie receipts na serikali ikusanye kodi yake.
 
Back
Top Bottom