Biashara ya miili Iringa noma

Biashara ya miili Iringa noma

Hivi lugha sahihi hapo ni biashara ya KUUZA MWILI au KUKODISHA MWILI
 
Kuna ka glocery flan pande za kihesa sijui kaitwa white,black hivi.bas nilupita pande hizo juzi saa 2 usiku nikaona mabint wakiita'njoo upewe' wengine ' njoo upate'
 
Ahaa kkumbe Kimboka wanauza. sawasawa napajua pale. Nilikua najiuliza wapi nitapata hii huduma chap chap. asante JF. Na ninyi wa Iringa hapo holiday inn jjiandaeni. kesho kutwa nitatia timu hapo. Mkuu na Mbeya wanapatikana wapi hawa wadudu ? Nina safari ya Tunduma j3.

Bategereza acha hizo utakufa bado tunakuhitaji hapa JF comments zako
 
Ahaa kkumbe Kimboka wanauza. sawasawa napajua pale. Nilikua najiuliza wapi nitapata hii huduma chap chap. asante JF. Na ninyi wa Iringa hapo holiday inn jjiandaeni. kesho kutwa nitatia timu hapo. Mkuu na Mbeya wanapatikana wapi hawa wadudu ? Nina safari ya Tunduma j3.
Nina safari tabora in a week time ,fahamisheni wadau wapi naweza pata msaidizi wa wife!
 
Ni noma kwa maana gani? Mji gani hapa Tz hakuna malaya? Ukienda Shinyanga kuna eneo la bar inaitwa Papilo ni nyuma ya stand tu sa1 usiku wako kibaaoo. Ni karibu mikoa yote sidhani kama Iringa ni noma kwa kumaanisha noma
Nilikuwa Kisiwa cha mafia for a week ,ni shida hakuna wa kununua bhana!inabidi hapo hufanikiwi mpaka ujitegeshe kimpenzimpenzi ,hakuna kuondoa 'genye" hapo
 
Ni noma kwa maana gani? Mji gani hapa Tz hakuna malaya? Ukienda Shinyanga kuna eneo la bar inaitwa Papilo ni nyuma ya stand tu sa1 usiku wako kibaaoo. Ni karibu mikoa yote sidhani kama Iringa ni noma kwa kumaanisha noma

Sasa hivi kuna kitu kinaitwa bakurutu hapo Shinyanga wapo wengi waliojiajiri na kazi hiyo ya kukodisha mwili.
 
iringa noma,nilikuwa bar fulani napooza koo kakanifuata kademu kakaanza kunitongoza.huko ukimwi hauwezi isha
Yaani mie naona nimenyata kweli. Halafu naonekana masikini. Miaka nusu karne na sijawahi kutongozwa. Itabidi kwenda kwa mganga sasa...
 
dhambi ni nyingi sana na hukunaga dhambi ndogo mbele zake maulana, lakini dhambi mbaya kuliko zote ni ifanyikayo kwenye hekalu la Mungu mwenyewe na hii c nyingine ni UZINIFU,imeandikwa MIILI YENU NI HEKALU TAKATIFU LA MUNGU MTU YEYOTE ATAKAYE LIHARIBU HEKALU MUNGU ATAMHARIBU MTU HUYO.
 
kule mwanza maeneo ya villa park, wale walinzi wa maegesho ya magari wanavibox, unalipia mia tano ya box unatandikiwa kwenye mtaro shughuli inaanza.

duh hii noma sana,bt huwez minya kwa uhuru
 
iringa noma,nilikuwa bar fulani napooza koo kakanifuata kademu kakaanza kunitongoza.huko ukimwi hauwezi isha

Sio Iringa pekee na wala sio mikoani tu, Nilikua Kilimanjaro wilaya ya Siha kijiji cha Engarenairobi, huko noma pia tena sana, Siku moja nimetoka zangu site nafika kwenye gesti niliyokua nimefikia mhudumu ananambia kuna bibie alikuja akimtafuta jamaa ake mhudumu akahisi labda ni mm, nikamwambia sina miadi na bibie yeyote kisha nikajoke kidogo nikisema kama akikosa mtu anipasie, mhudum kwa shauku kanambia broo unataka niachie namba ya simu ukirudi utamkuta kwenye chumba chako, ikanbidi nikae ili nimdadisi vizuri kuhusu hiyo mambo inakuaje kuaje.
Kanambia broo hii biashara hapa iko juu sana tena thamani yake inapanda sana kipindi cha mavuno ya viazi, unaweza ukawa ndani na bibie akapigiwa simu na jamaa kwa dau kubwa kuliko lako akakuacha geto na kwenda kwa mshikaji, lakini mavuno yakiisha utampata bibie hata kwa 5000 mpaka asubuhi bila shida.
mambo haya c mijini tu na tusiwalaumu watu wa Iringa, Dar na kwingineko, hii issue ni ya nchi nzima mijin kwa vijijini, Tusitegemee serikali kukomesha haya mambo, kama imeshindwa kukomesha vinguo vya aibu, tazama wanake wavaavyo siku hizi! Mungu wangu tusaidie kwa kweli. Uchi wa mwanamke ukiondoa uso na viganja vya mikono na miguu vilivyobaki vyote ni uchi na vinastahili kusitiriwa. Tazama vijisuruali wavaavyo kina dada, utafikiri kajipaka rangi mwilini na kutembea hivo, kinguo kinabana na kuonesha umbile halisi la mhusika, BADILIKENI DADA ZETU.
 
Ndio ivo Mkuu wenye mamlaka kudhibiti hii wanajifanya hawaoni.tena hata mi NGOs ya Ukimwi Iringa imejaa Ila hata kugawa ndom kule haiendi inasubiri kutengeneza data fek

Hivi Kwanini Isihalalishe Hii Biashara Na Watu Wakalipa Kodi Kuliko Kufanya Kwa Siri. UKISEMA UKIMWI PALE MAREKANI NGONO NDIPO SHULE YAKE LAKINI HATUSIKII UKIMWI HUKO.
 
Hv wangekosa wateja wangeendelea? Inabidi kama dawa itafutwe kwa wote na iwekali sana, tukipiga mawe au viboko mia (wachache) wote ke na me wataacha.
 
Duh Iringa ni hatare sana ila ile baridi inachangia pia
 
Kama buguruni kimboka na sinza dar,mjini Iringa ukahaba waziwazi tena huku ni zaidi ya dar ,ukahaba,ufuska inafanywa mchana kweupe pe.Nenda holiday in bar frelimo bei ni kuanzia 15000 na kuendelea hapo ni pamoja na room.pia kuna tetesi kuwepo madanguro ya siri maeneo mengi ikiwemo kihesa.serikali ihalalishe tu uuzaji wa papuchiii maana imefumbia macho suala hilo

mkuu, bei ya huko mbona ghali hivyo? kwa kimboka ukiwa na buku jero unapiga papuchi, tena staili yoyote unayoitaka. umeona eeh? hayo ndio MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. watu wanajitafutia maisha, waacheni wauze papuchi.
 
Back
Top Bottom