Winga dalali
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 192
- 263
Habari, zenu wanajukwaa poleni na majukumu pia kheri ya kuvuka mwaka.
Wanajukwaa nauliza sehemu ya kupata mifuko ya 25kg ile ya unga mfano wa azam, azania. Pia natafuta mifuko ya gunia nzito kwa jumla kwa Dar es Salaam.
Anayejua chimbo au bei anijuze. Plz mwenye kujua aandike na bei.