Biashara ya dagaa

buyoya419

JF-Expert Member
Oct 20, 2017
555
416
Nina mtaji wa kama 1m nimefikiria nianzishe biashara hasa ya dagaa hasa za nwanza zisizo na mchanga

Nahitaji msaada wenu hasa
*Bei ya ndoo na inakuwa kilo ngapi
*Bei ya gunia na linakuwa na kilo ngapi
*Chimbo la kuuzia kwa jumla na rejareja
*n.k hasa kwa wazoefu

Kambi popote
 
Biashara ya dagaa ina hela ila ukiifanya vizur mkuu nisha hustle sana na hii biashara lakin naamin itanipa hela tu . Nisha tapeliwa na watu wa kisiwan nishatapeliwa na watu wa sokon nishapata hasara lakin siichok na soon nataka nirud na mkakati mpya wakisasa kwenye hii biashara
 
Pole
 
Umeelezea yaliyokusibu pole,mpe muongozo mleta mada.
 
Pole sana mkuu, unafikiri
Biashara ya dagaa ina hela ila ukiifanya vizur mkuu nisha hustle sana na hii biashara lakin naamin itanipa hela tu . Nisha tapeliwa na watu wa kisiwan nishatapeliwa na watu wa sokon nishapata hasara lakin siichok na soon nataka nirud na mkakati mpya wakisasa kwenye hii biashara
Ni wapi ulikosea ili wemgine wapate kujifunza?
 
Nina mtaji wa kama 1m nimefikiria nianzishe biashara hasa ya dagaa hasa za nwanza zisizo na mchanga

Nahitaji msaada wenu hasa
*Bei ya ndoo na inakuwa kilo ngapi
*Bei ya gunia na linakuwa na kilo ngapi
*Chimbo la kuuzia kwa jumla na rejareja
*n.k hasa kwa wazoefu

Kambi popote
Kuna yule mdada yuko twitter (X) maarufu kwa kuuza dagaa na samaki kutoka Mwanza unaweza kumcheki pia anajiita TricyLove anaweza kukupa 1 na 2 ya hiyo biashara
 
Biashara ya Dagaa haina bei fixed(wakati wa kununua), huo ndo ukweli.

Bei yake inabadirika kwa kila Giza( Hiki ni kipindi ambacho uvuvi wa Dagaa ufanyika ndani ya kila mwezi,, simply ni kipindi ambacho kunakuwepo na giza kabla ya mbalamwezi kuanza kuchomoza).

Pia kwenye Giza hilo hilo, bado bei ya kununulia ubadirika siku kwa siku, kutokana na upatikanaji wa Dagaa yenyewe ulivyo.

Hapo nimezungumzia udhoefu wa upatikanaji wa Dagaa(kununua) kutoka huko visiwani.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Mfano katika kipindi hiki,, bei kidogo ipo juu maana mvua zinanyesha sana huko visiwani, kwahiyo Kuna uhaba wa jua( Nishati inayotumika kukausha Dagaa).

Dumu linauzwa hadi Shilling 24000/=.

Gunia linakuwa na ujazo wa Dumu 20 au 10.

Uzito wake waweza kuwa Kg 80 kwa gunia lenye ujazo wa dumu 20 na Kg 40 kwa gunia la dumu 10.
 
Oh Asante bro ni miezi gani huko kisiwani mvua zinakata
 
Kwa experience ya visiwa vya Bukoba mvua zinaweza nyesha kwa huu mwezi wa 9 na 10 pia.

Lakini nachoweza kukushauri ni kwamba ingia mzigoni mkuu upige kazi,, kwenye icho kipindi cha mvua,, mzigo unaweza kuwa changamoto kukusanya lkn uzuri ni kwamba ukiupata, sokoni pia utauza kwa bei nzuri sana.
 
Nauli ya kutoka mwanza mpaka kwenye hicho kisiwa bukoba ni kiasi gani

Nataka nikatafute connection kule au nimpeleke mtu awe ananitumia mzigo mi nausambaza
 
Inategemea sasa ndg unataka kwenda kisiwa cha wapi..

Binafsi,, nina taarifa na kisiwa kimoja kinachoitwa MULUMO, kutoka mwanza mpaka hapo kuna wastani wa Shilling 25000.
 
Kwa experience ya visiwa vya Bukoba mvua zinaweza nyesha kwa huu mwezi wa 9 na 10 pia.

Lakini nachoweza kukushauri ni kwamba ingia mzigoni mkuu upige kazi,, kwenye icho kipindi cha mvua,, mzigo unaweza kuwa changamoto kukusanya lkn uzuri ni kwamba ukiupata, sokoni pia utauza kwa bei nzuri sana.
mkuu kisiwa cha GOZIBA ushafika? Nimeshauriwa nitulie mpaka mvua zikate kwanza kwasababu sasa hivi bei ya dagaa ipo juu itanisumbua kupata mteja sokoni hii ni kweli mkuu?
 
Goziba Tsh. 15,000/= MV NYEHUNGE na inapita na kusimama visiwa vyote zaidi ya Vinne kabla ya kufika Goziba. View attachment 2759375View attachment 2759376
IMG_20210920_115535_706_1632136587611.jpg
View attachment 2759377
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom