Wadau naomba kushea experience yangu ndogo kwenye Biashara ya kuuza tofali

Charles avb

Member
Apr 28, 2020
25
35
Kwanza kabisa fanya research ya Location especially kwenye maeneo yananayo kuwa kwa kasi hasa ya makazi na viwanda yenye miundombinu rafiki kwa aina ya bishara husika.
Ni vyema ukipata eneo kuanzia nusu heka sqm 2000 ama zaidi na liwe tambarare

Pili ni vyema ukatafiti upatikanaji wa materials kama vile mchanga na Cement

Kwanini Cement na mchanga?

Katika uhalisia wa hii biashara inategemea sana upatikanaji wa hivi vitu kwa bei nafuu ili ku maintain upatikani wa faida kutokana na gaharama za usafirishaji wa materials

Note hili ni la muhimu sana sana maana siri kubwa lupata faida katika biashara ni manunuzi ya malighafi ya kuzalisha bidhaa ukifaulu hapa biashara utabaki na kipengele kimoja tu cha kutafuta masoko na mzunguko in daily basis

Mahitaji ( Equipments Machines & Tools )

Kibanda cha shades kwa ajili ya mashine
Kisima cha maji au unaweza kuvuta na kuweka Tank ltrs 3k +
Sprinkler water pipe
Umeme three phase
Machines Mixer & Blocks Vibrator
Mifumo yote ya umeme wiring
Vibao ya tofali
Tools box spana different sizes
Lubricant oil & Grease
Belt za motor

Mashine

Mixer machine ya ku mix mchanga either ya 50kg au 25kg
Blocks Vibrator ya box 2 inch 5 & inch 6
zile za kawaida tu
Nyingine zile za four in one sina uzoefu nazo

Hizi machine za kawaida huwa zinauzwa complete na motor zake na mikanda ya motor it depends unachagua ya aina gani especially mixer kuna za gearbox na Diff ila the best ni Diff hazisumbui.

Upande wa capital unaweza kuanza na Mtaji wa Tofali elf kumi ambapo utahitaji mifuko ya Cement 225 kwa kila mfuko wa ratio ya 42.5 kutoa tofali pcs 45/50
utahitaji mchanga lorry 9 = na cubic mt 162

aina za mchanga lazima uwe makini kuna baadhi ya aina za mchanga Cement haishiki tofali zinkuwa biscuit sio imara hili ni vyema ukawarikisha mafundi wazoefu kukusaidia.

Baada ya hayo maandalizi unaweza kuanza uzalishaji jitahidi sana ku maintain quality ya Tofali zako pia gharama za uzalishaji

Note kubalance hesabu za manunuzi angalu kwa kila tofali upate 150/200 /350 ila hii inategemea kama una tipper hata ya tani 2.5 au tani tatu itakusaidia ku save expenses za kukodi transportation

Baada ya kusema hayo naomba kuhitimisha
 
Baada ya kusema hayo naomba kuhitimisha
emoji120.png
Je changamoto kubwa katika hii biashara ni nini hasa?
 
Sijaona hela apo. Bado hujasaidia
 
Waambie kabisa hii biashara inaongoza kwa kukopwa .unaweza filisika huku unajiona
 
Back
Top Bottom