KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,716
- 12,074
Ukitupia picha itakua poa. Unatumia maziwa aina gani?Askirim ni sh.mia tu! Sijaweka picha yake ni za maziwa ni ndogondogo!
Ukitupia picha itakua poa. Unatumia maziwa aina gani?Askirim ni sh.mia tu! Sijaweka picha yake ni za maziwa ni ndogondogo!
SanaIce cream inalipa sana
Inategemea ni aiskirim gani unazozitaka...zipo za aina tofautiHongera sana kaka, nisaidie nami ni vitu gani Unachanganya na kwa namna gani hadi kuleta kiwango cha ubora na kupendwa na walaji
Mkuu naweza kukutembelea kwa ajili ya kujifunza? Mm niko Sumbawanga kwa sasa wewe uko wapi?Yaan askirim zangu zina ubora kila anaezila anasifia! Natengeneza za maziwa zenye ladha mbalimbali km vanilla, strawbery, banana na chocolate pia.. Ni tamu mno!
Huo mtambo tatizo hauuwezi kuumove!Milion moja laki 7 nakufungia mtambo wa chostick
Kwani huko ulipo ni sh ngapi mkuu?Mashine za hizo ice crime kwa bongo ni sh ngp
Una Friji?Mimi naomba ufafanuzi wa hiyo ya mtaji elfu 40.
Mkuu kma uko tayari naweza kukuunganisha na mtu moja kwa moja ambae anaweza kukushauri juu ya hio biashara na machine unayotka.Nataka nianzishe biashara ya kuuza icecream kama za bakhresa na juice fresh wadau nani keshawahi kuifanya hii biashara?
Nahitaji nini na nini/vifaa?
Mtaji ni kama shilingi ngapi?
lol:israel: