Nawezaje Kuanza Kuuza Hizi Ice cream za Ukwaju za Bakhresa?

Julius01

Member
Feb 25, 2023
8
9
View attachment 2823621
Rejea kichwa cha habari hapo juu.

Hivi kwa mtu anayetaka kuanza hiyo kazi/ biashara utaratibu upoje?

Unapataje deli?

Na kama usipohitaji deli anapataje lile boksi lenye pieces 30?

Mchanganuo wa gharama upoje wakati wa kuanza?

Unatakiwa uwe na nini na nini?

Na ice cream zinazobaki inakuwaje?

Kama una ujuzi nayo au uliwahi kuambiwa kuhusu hii fursa naomba uniambie, Asante!
 
Back
Top Bottom