Mashine ya ice cream(lambalamba/ice lolly) na popsicle zipo

JAYDAN4

Member
Feb 15, 2023
34
16
Hello wana jamvi unahitaji mashine ya kutengeneza ice lolly wengi mtaani tumezoea tunaziita lambalamba utazipata kwetu na tunakupa ushauri bureee,
Hizi mashine ni nzuri sana hasa hiki kipindi cha joto na kuelekea msimu wa likizo watoto wengi mtaani
Nakushauri ukiwekeza pesa yako hapa hutaijutia

Mashine ya lamba lamba zipo kuanzia tray moja ikiwa na uwezo wa kuzalisha piece 40 kwa dakika 15 tu kwa hiyo ndani ya saa moja piece 160
Hii itaipata kwa million tatu tu (3000000)

Pia ipo tray mbili hii inazilsha piece 80 kwa wakati mmoja
Hii utaipata kwa millio tatu na laki tisa (3900000)

Pia zipo za ice cream wengi tumezioea kama barafu
Hii unaipata kwa million mbili na laki saba tu
(2700000)

Namba zetu 0657050325 tupo kariakoo mtaa wa masasi
JamiiForums-2138827203.jpg
IMG-20200709-WA0053.jpg
FB_IMG_1558334836341.jpg
 
Vipi kuhusu service zake?
Unauza vipuri vyake?
Hello wana jamvi unahitaji mashine ya kutengeneza ice lolly wengi mtaani tumezoea tunaziita lambalamba utazipata kwetu na tunakupa ushauri bureee,
Hizi mashine ni nzuri sana hasa hiki kipindi cha joto na kuelekea msimu wa likizo watoto wengi mtaani
Nakushauri ukiwekeza pesa yako hapa hutaijutia

Mashine ya lamba lamba zipo kuanzia tray moja ikiwa na uwezo wa kuzalisha piece 40 kwa dakika 15 tu kwa hiyo ndani ya saa moja piece 160
Hii itaipata kwa million tatu tu (3000000)

Pia ipo tray mbili hii inazilsha piece 80 kwa wakati mmoja
Hii utaipata kwa millio tatu na laki tisa (3900000)

Pia zipo za ice cream wengi tumezioea kama barafu
Hii unaipata kwa million mbili na laki saba tu
(2700000)

Namba zetu 0657050325 tupo kariakoo mtaa wa masasi View attachment 2819838View attachment 2819843View attachment 2819848
N
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom