EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

Arnold Kalikawe

Senior Member
Sep 28, 2016
145
332
Siku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao unatumiwa sana huko hollywood na tumeona kwenye movies kama Superman, Avatar, Avengers na nyinginezo.

Hii movie ya EONII ni ya kiswahili kabisa lakini cha kushangaza ina Robots na Mashine za mfano wa Robots, na mandhari yake ni ya Teknolojia na muonekano ni wa Tanzania baada ya 2061. Ni trailer kali sana. Naona hatua kubwa kwa Tasnia ya Filamu Tanzania.

"EONII" a Tanzania movie that will take Africa's film industry to another level.

---

AZAM TV and POWER BRUSH STUDIO have launched the Blockbuster movie trailer
AZAM TV in collaboration with POWER BRUSH STUDIO have been able to launch the trailer of the New Movie "EONII". The movie that is about to be released in the end days of June, 2023 is expected to change the whole attitude of the Tanzanian film industry, the movie is called 'EONII'.


1685694841152.png
EONII is one of the Science Fiction (Sci-Fi) films that is based on high technology, where there are many cases including betrayal, fights, love and many other events. The setting of this movie is Tanzania, where the movie predicts that in 2061 Technology will have made a big step and there is an invention of Technology that is discovered and leads to a big threat where some people will own that knowledge and betray their fellows at the end of the day Humans and Robots enter the war along with some people who are traitors.

The language of the movie will be Swahili, with different languages Subtitles.

Launching the Movie
This full movie will be released on 23rd June, 2023 in cinema (theatres) where the Regions listed for the launching event will be Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Dodoma as well as other regions with cinemas and there will be a Red Carpet.

Film industry revolution​

This is a big revolution in the Film Industry in Tanzania and Africa in general. For a long time, the world of movies in Tanzania had deteriorated for many years since the late Steven Kanumba died, and now AZAM TV has shown the intention to focus on trying to make unique movies in Tanzania to compete with the world markets.
 
Kwa kiasi kikubwa azam ameipa uhai sana bongo movie, kuanzia zile tamthilia za AzamTv hadi sasa hii movie, binafs kama price ya hii movie itakuwa chini ya 5k lazima niinunue, just to support local made movies though mimi sio fan wa sci-fi movies
 
Kwa kiasi kikubwa azam ameipa uhai sana bongo movie, kuanzia zile tamthilia za AzamTv hadi sasa hii movie, binafs kama price ya hii movie itakuwa chini ya 5k lazima niinunue, just to support local made movies though mimi sio fan wa sci-fi movies
Na mimi ntaitazama nione
 
Siku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao unatumiwa sana huko hollywood na tumeona kwenye movies kama Superman, Avatar, Avengers na nyinginezo. Hii movie ya EONII ni ya kiswahili kabisa lakini cha kushangaza ina Robots na Mashine za mfano wa Robots, na mandhari yake ni ya Teknolojia na muonekano ni wa Tanzania baada ya 2061. Ni trailer kali sana. Naona hatua kubwa kwa Tasnia ya Filamu Tanzania.

"EONII" a Tanzania movie that will take Africa's film industry to another level.


Haya ndio mambo sasa sio kusomea makaratasi tu
 
Kuna historia za maana sana hapa Tanzania mfano historia za kina chief Mkwawa, Vita ya maji maji n.k , pia tuna location kali sana, kwa hio budget na muda tungetoa filamu ambayo dunia ingeifahamu Tanzania, hizi sci fi tunahitaji wataalamu zaidi na ni jambo la kukubali, Hollywood wenyewe siku hizi hawaweki sana CGI, mwanzo mzuri.
 
Back
Top Bottom