Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Maeneo ya chuo wanapata sana hela wenye gaming center. Kuna kipindi nliingia city mall posta bei ya game ya mpira cjh nlisikia vibaya cjh wenge langu tu nlisikia f5 per match.
 
Ndugu zangu,

Ninafanya biashara ya kuchezesha games (ps2, ps3 na ps4) kwa siku za shule nimekuwa nafungua saa 9 jioni, kipindi hiki cha likizohuwa nafungua asubuhi saa 4 lakini muda wa saa 9 kasoro. Askari wakanikamata katika kipindi hiki cha likizo, wanadai muda bado.

Naomba kujua utaratibu ukoje, maana wanafunzi sasa hivi wapo majumbani

Asanteni
 
Jitahdi uwafezi out wanafunzi watakuharibia biashara.
jenga kuwa na wateja wanaojielewa. Achana na hao.
mm niliifanya sana ila niliamua kuachana nayo kwa kero kama hzo za polis na mgambo. Pamja na kuwa na vibali kutnka manspaa lakin usumbufu mtupu.
Na kama wakija unatabia ya kuwapa hela hapo watakufanya kitegauchumi.
 
Kwani ulipochukua lesen uliambiwa unatakiwa kufungua kuanzia saa 9??
 
Leseni unayo?maana unaweza kukuta unauliza utaratibu ambao kimsingi ni sheria Wakati huna Leseni na hulipi Kodi.
Kama Huna hivyo vitu wewe washukuru hao polisi na wape hela ya maji endelea Kuchapa kazi kimazabe
 
IMG_5434.jpg
 
Ndugu zangu,

Ninafanya biashara ya kuchezesha games (ps2, ps3 na ps4) kwa siku za shule nimekuwa nafungua saa 9 jioni, kipindi hiki cha likizohuwa nafungua asubuhi saa 4 lakini muda wa saa 9 kasoro. Askari wakanikamata katika kipindi hiki cha likizo, wanadai muda bado.

Naomba kujua utaratibu ukoje, maana wanafunzi sasa hivi wapo majumbani

Asanteni
Inshu sio wanafunzi wapo, taratibu ni kuwa muda wa kufungua ni saa.10 jioni, kwanza nadhani hata leseni huna, kwani ungekuwa nayo wala usingekuja kuuliza hapa.
 
Back
Top Bottom