Biashara ya Michezo ya Video (Video Games): Jifunze Uendeshaji, Changamoto na Faida Zake

Ndugu zangu vipi hii biashara na kununua bodaboda ipi itakuwa na tija naombeni mrejesho wakuu?
Bodaboda mzee kama unapiga mwenyw ipo frsh ila mafuta yamepanda bei but game nayo ipo frsh Zaid kikubwa uangalizi mzuri na location iliyochangamka
 
bro Castr naomba mawazo yako kaka hata mimi nilikuwa nawaza hivi vitu viwili.
Duh ebwana samahani.

Sijui kama umeshafanya maamuzi.

Tuconsider kila kitu kipo constant yaani bodaboda utafanya repair na ps controllers utazifanyia repair in a long run ps inakua better kwakua bodaboda itachoka ila siyo ps. Na bei ya bodaboda mpya inatosha kua na ps4, 3 na hata 2 kama unazipenda.

Isipokua kwa PS unatakiwa uwekeze kwenye location. Kama location utakaowekeza ni nzuri hata ps2 moja inatosha kukupa 10K mpaka 20K. Kuna mwaka nilipost kuuza ps2 humu kuna jamaa akanitafuta akaniambia tufanye exchange anipe simu nimpe game. Nikamkubalia, sikujua kumbe anatokea Moro mwaka huo nipo Dara, tukakutana tukamalizana.

Tukaja wasiliana akaniambia anatengeneza 40K to 60K per day. The reason ni kwakua hapo Moro alipo ni yeye tu alikua na game na mechi moja ni 500, wakati mimi (na Dar kwa ujumla) ps2 mechi moja ni 200.

So wekeza kwenye location na utaona bodaboda haina ishu.

Pia usiniaddress kama 'kaka'
 
So gaming station ni bora zaidi aseee, kuliko bodaboda mkuu?
Vipi wew hapo town zilipo ps nyingi ulikuwa unalaza bei gani? Tupe muongozo master mind
 
Mapato ya mwezi wa kwanza yote nilitoa sadaka kwa Mungu ... ikaja ikatokea CORONA nilifunga miezi kadhaa kwa woga ... ila nilivyo fungua ndio walete mpaka leo
Unafungua saa ngapi na kibali unachukulia wapi?
 
inch 32 inakuwaga poa sana mkuu.....ila inategemea na bajeti yako maana hizo inch 32 unaweza pata kwa 250 zingine dukani kabisa ila brand ndogo ndogo
 
Vip wadau nishachukua TV, sas PS mnanishauri nichukue ps4 mbil. Au ps4 moja na ps3?
Ofisi iko wapi nije kukufunga fifa

3 ni cheap kuimaintain kuliko 4. Kuanzia kuweka game vifaa vyake mpaka matengenezo.

Fanya mpango uwe nayo kwakua kuna games za mission hazina tofauti wa matukio kati ya 3 na 4 isipokua unakua unachezea tu console nyingine ila mambo ni yaleyale.
 
Bila shaka hii itakuwa ni ac mpya, je btu inakuwaje yenye matumizi mazuri ni ndogo au kubwa..

Nina jamaa yangu anafanya biashara ya movies, kwa siku anatumia umeme mwingi sana akiwasha AC yani ile unit Checker ya anesco kila ukichek umeme unapungua kama sekunde zinavyotembea.
Samahani naomba kujua ni ipi hyo biashara ya movie kaka
 
Ntamfungulia dogo akimaliza four maana anapenda sana game alikua anaiba hela nyumbani anaenda cheza game
 
Back
Top Bottom