Ndege Tausi
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 992
- 476
Iko siku watapigwa risasi hao! Kwanza huwa nawatamani sana sema starehe zangu nazifanyiaga exclusive places, gesti siwezagi I dont feel comfortable, ila siku wakosee waje whitesands, hyatt, protea e.t.c. sijui!
Acha uzinzi, upendo wa kweli hupatikana kwa Mungu pekee! mnaoendeleza uzinzi nahisi ni wale mliokosa mapenzi ya wazazi wenu mlipokuwa wadogo sasa mnajifariji kwa kutafuta mapenzi feki ya wanadamu.