Biashara ya kuandaa mafumanizi na kujipatia pesa

Biashara ya kuandaa mafumanizi na kujipatia pesa

Kulikuwa na mataperi wako na mdada mmoja Ana asiri ya kiarafu, amefunga na Ana macho ya kichokozi, wanapenda kutega bar, akikuona unazo anakutega mpaka uingie, hataki hotel, anataka guest za mitaani, akifika anavua nguo anaenda kuoga, akitoka nawe uende, ukiwa bafuni watu huku nje wanagonga! anaenda kuwafungulia mwenyewe, anapokelewa na kofi kubwa anaanza kulia, kisha wanamgeukia mwanaume, wanachukua nguo ili usivae, mmoja anajifanya mwenye mke anapandisha hasira akitaka kupiganaga na mwanaume, wengine wanamzuia, kisha jamaa hawakupi nguo wanadai fidia m1 au 2. Ukikataa wanaita watu wana camera wanajifanya waandishi wa udaku, wakupige picha kisha wakupeleke polisi uchi, na wanashirikiana na polisi wa ukweli, utatoa tu HeLa.
 
Money Stunna mbona kama details zao unazijua sana?
 
Ndo wakware mtulizane na wake au wapenzi wenu
 
Nashukuru mtoa mada,nilikuwa natafuta idea ya busness.msaada wa business proposal tafadhari
 
Wangesajiri kampuni iwe kama CHEATER ya Marekani, unalipa kabisa unapewa na receipts, wanamtafuta wanamrecord mpaka unafumania, ila wanazuia msipigane.
something sense goods just like paparazi! UZINZI,UCHANGUDOA NA MABAYA MENGI YATAPUNGUA//
 
Tatizo ni status yako kwa jamii mkuu kama washakupiga picha wakisema kesho zipo ukurasa wa mbele kwenye ijumaa
Hebu pata picha kama utaweza kwenda ofisini.

Kwahiyo sio fumanizi na blackmail. Maana huwezi kumfumania mtu aliyenunua ---- barabarani.
 
hii hatar sana..o ata angejaribu kuiba idea ya kile kipind cha cheaters, Marekan..anakua na kampun ambayo ipo kihalali ie imesajiliwa..so clients wake ni wale wanaohis wapenz wao wanawaibia, hvyo wao kaz yao ni kumchunguza mtuhumiwa n at the end mambo yanakua hadharan..ila kibongo bongo i dnt think f t will b possible to start something like that mana kwanza inabid ulindwe kwel kwel..pili hiyo kampun itabd iwe na wafanyakaz miakumi hahaa ili kuhandle case za wateja wao(ambavyo watakua na wateja weeeeeeeeeeeengi).
 
Umaskini unasababisha yote hayo acha wakomeshwe akina penda pendaa
 
Back
Top Bottom