Biashara ya kuandaa mafumanizi na kujipatia pesa

Biashara ya kuandaa mafumanizi na kujipatia pesa

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,335
Nawatahadharisha,

kuna rafik yangu baada ya kupigika na maisha toka mwaka juzi akapata wazo la kuanzisha biashara ya mafumanizi.

Ameajiri wadada 5 kinachofanyika anawatumia hao wadada kuandaa mafumanizi. Mkikubaliana na wadada yeye anakuja na watu wacamera na mabaunsa 2 kufumania pia watakutaka utoe pesa.

Ukitoa pesa anazotumia kulipa mishahara kwa kila mwezi kama faida yake hakosi million 5.

Huu ni mwaka wa pili sasa hivi amejenga na ana gari 2 za kutembelea pia ameoa.

Elimu yake ni kidato cha nne tu na wana ofisi kabisa. Makazi yao ni Dar lakin uwa wanasafiri adi mikoani.

Uwa wanatoza pesa kulingana na mtu alivyo. Wanatoza kuanzia laki 5 adi million 10.

Mbaya zaidi wanakupiga na picha hivo lazima utatoa pesa.

Mnaopenda wanawake wa barabaran kazi kwenu.
 
Hata hii ya kawe waliomfumania muzehe inaonekana ni hao jamaa,manake anae daiwa kuwa mwanafunzi hafananii
 
duh!! mwambie anitafute nimpe deal hapa dar.
 
Money Stunna Its funny lakini mwisho wake m baya tena sanaa. Aangalie tu asije akatumiwa majambazi na yeye akafanyiwa u-mafia (Kuna siku atakuja katwa korodani ) in return. Mtu atatoa pesa ndio, ila mwingine atakufatilia na kukulia radar hata mwaka mzima. Ukiingia kingi tu, umepotea. Watoto wa mjini ni wengi vile vile. Kama ashapata mtaji wa kutosha aachane na michezo hiyo. Its Risky.
The concept is good ila afanye in a much safer field with much insulation on himself. Ni aheri auze unga kuliko biashara hiyo.
#Thinking Out Loud.
 
Last edited by a moderator:
Iko siku watapigwa risasi hao! Kwanza huwa nawatamani sana sema starehe zangu nazifanyiaga exclusive places, gesti siwezagi I dont feel comfortable, ila siku wakosee waje whitesands, hyatt, protea e.t.c. sijui!
 
...matatizo yooote yameanzia clouds, eti fursa,kumbe wanawadanganya vijana wa watu...
 
Iko siku watapigwa risasi hao! Kwanza huwa nawatamani sana sema starehe zangu nazifanyiaga exclusive places, gesti siwezagi I dont feel comfortable, ila siku wakosee waje whitesands, hyatt, protea e.t.c. sijui!
kama wako proshefeno mfano wanakua na vyeti halali vya ndoa,utazitema tu uwe wa viwanja vya kempski ama step 2.
 
kama wako proshefeno mfano wanakua na vyeti halali vya ndoa,utazitema tu uwe wa viwanja vya kempski ama step 2.

Siombei iwe hivyo ila kwa mfano kama hilo set up nimefanyiwa mm, hela ntatoa ndio ila huyo jamaa nikaja kumjua. Sijui kwa kweli. Ntamuozesha na kumfanyia send off party kwa wanaume wenzake wa mjini. Cz kwa mazingira yale ni wazi kabsa ni set up. Tunamuweka mafichoni kama mwezi hvi, akitoka huko hata wanawake hana hamu nao tena.
Biashara ziko nyingi tu za kufanya zinazo lipa pesa nzuri mno. Ya nn kujihusisha na ujinga kama huo ??
 
Si kuna mmoja alikuja kulalamika amedaiwa mil 5 na wameandikiana kwa mwenyekiti? Au ndo hao nini
 
Aisee ni PM details zake aje anifumanie mimi...nadhani ntawala 0713 kwanza hao mabaunsa wake...alafu nammalizia yeye...

Huna ubavu huo. Sana sana utapigwa pichwa na itaenda kuuzwa kwa shigongo.

Chezeya fumanizi na uwezi jua kama issue imepangwa.
Unaweza tembezwa uchi mtaani. Utatoa tu pesa ukileta mchezo wanakula min kabaang
 
Siombei iwe hivyo ila kwa mfano kama hilo set up nimefanyiwa mm, hela ntatoa ndio ila huyo jamaa nikaja kumjua. Sijui kwa kweli. Ntamuozesha na kumfanyia send off party kwa wanaume wenzake wa mjini. Cz kwa mazingira yale ni wazi kabsa ni set up. Tunamuweka mafichoni kama mwezi hvi, akitoka huko hata wanawake hana hamu nao tena.
Biashara ziko nyingi tu za kufanya zinazo lipa pesa nzuri mno. Ya nn kujihusisha na ujinga kama huo ??

Hiyo inalipa zaidi kwa mwezi hakipata pesa ndogo ni million 10.

Ana mjengo mkubwa Tabata
 
Iko siku watapigwa risasi hao! Kwanza huwa nawatamani sana sema starehe zangu nazifanyiaga exclusive places, gesti siwezagi I dont feel comfortable, ila siku wakosee waje whitesands, hyatt, protea e.t.c. sijui!
Kwelu kabisaaa. Unakuwa huja relax unawaza kunguni na kuwashwa mwili wondering how do they clean them sheets. Lol.
 
Back
Top Bottom