Biashara ya dawa za kulevya kurejea kwa kasi? Watanzania 2 wakamatwa na Cocaine kilo 2 tumboni Uwanja wa ndege wa Mumbai

Ninachokiandika ndio uhalisia hata jiwe alipokuwepo bado hizi biashara ziliendelea,ss sijui huko zilipopungua ni wap au Nanjilinji Lindi?
Hakuna aliyesema kuwa biashara haikuwepo,tunachojadili hapa ni kiwango cha matumizi na uingizwaji wa madawa yenyewe,shida niliyoiona kwako ni kutanguliza chuki kwa JPM mpaka akili inaingia upofu.
 
RIP Dr John Pombe Magufuli! Mzalendo wa kweli
Ni muda sahihi madhambi yote kurudi.

Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.

Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.

Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.

Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.

"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"

Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.

"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"

Pole sana jpm.
 
Mtandao wa biashara ya madawa ya kulevya haukuwahi kupungua hapa Tanzania kiuhalisia, umeendelea kuwepo lakini kwa style tofauti. Habari na matukio yake zinaweza kuwekwa wazi sasa kwa sababu utawala kwa kiasi uko huru kuyasimulia au zinaweza kufichwa kwa woga wa kumchafua mtawala (hili lilikuwa kwa Magufuli).

Huu ni uwongo mkubwa tu hata unavyoandika unajua ni uwongo
 
labda useme ugomvi wako ni kuona jamaa akisifiwa.
Pole sana...
opperation tokomeza ilifanywa wakati wa jakaya rais wenu bora wa muda wote,sina uhakika kama unajua kilichofanywa na wanajeshi wale nje na kazi waliyotakiwa kuifanya,badala yake kanali katibu mkuu akaendelea kung'ara kwenye harakati zile za kuwamaliza wanyama.
Eti Jakaya wenu! Nimekuuliza utaje nini kilifanywa na JPM kuhakikisha ujangili unatokomea! Na nimekuambia, ninachojua operesheni ya kutokomeza ujangili haikufanywa na JPM... shida iko wapi? Si utaje hicho alichofanya JPM?

Au ndo unataka kusema Majangili yalianza kuogopa tu from nowhere!
jpm atabakia kuwa rais bora wa watanzani kwa muda wote,
Rais bora kwa kutumia vigezo vipi?! Ni watu aina yenu ndio wanaomuona JPM ni rais bora! Asilimia kubwa aliyofanya JPM kamalizia tu kazi za wenzake!

Ukitoa ununuzi wa ndege na ujenzi wa SGR, HAKUNA HATA MOJA lililoasisiswa na JPM! Kama lipo, taja hapa!!! Tena hata hiyo SGR alikuta hatua zote zimeshakamilika, na hadi Financier alishapatikana!!

Kweneye SGR huwa namtaja JPM kwa sababu tu alibadalisha Financier lakini hayakuwa maono yake ingawaje mna-force kuonesha eti alikuwa na maono!

Oh! Bila shaka utasema Bwawa la Nyerere kwa sababu hamtaki kuukubali ukweli mchungu aliowaambia Prof. Muhongo!

Mbali ya hayo, nitajie hapa hayo mambo!!
hiyo haijalishi kuna mtu anachukia kuambiwa hivyo ama anaumia,nenda kaulize huko kwenye chama pia,majibu wanayo.
Kwanini nikaulize kwenye chama wakati wewe mpiga mbiu wake, upo! Yataje hapa!!!!
uthubutu wake aliouonyesha wakati akiwa waziri wa ujenzi,ndio uliofanya mambo mengi ya kipuuzi kupungua,
Uthubutu upi ambao aliouonesha!! Hebu yataje hapa hayo mambo ambayo yalipungua manake hata hizo barabara ambazo hazikujengwa kwenye viwango zilikuwa wakati akiwa waziri.

ni kipindi cha jpm ambapo vibaka na majambazi waliokutwa na silaha wala hawakufikishwa mahakamani kusumbua mahakimu,na kisha kuachiwa kwa dhamana kisha kurejea usumbufu wao tena.
Kwahiyo ndo jambo la kuonea fahari hili! Kwa maana nyingine unakubali serikali ya JPM ilikuwa inafanya mauaji bila kufikisha watu kwenye vyombo vya sheria?
utasema unga uliingia mtaani,ila nitakwambia wakati huo waagizaji na wauzaji walikuwa na tahadhali na adabu kuliko wakati wowote,vipi leo kuingiza tani kadhaa za kitu kama heroin leo????
But still watu waliweza kuingiza unga na kupita kwenye mipaka yote yenye askari wa JPM!

So, what's the difference! Anyway, but at least finally umekubali kwamba bado watu walikuwa wanaingiza unga tofauti na porojo zenu kwamba eti "suala la unga linarudi tena" as if lilikishwa!
 
Pole sana...

Eti Jakaya wenu! Nimekuuliza utaje nini kilifanywa na JPM kuhakikisha ujangili unatokomea! Na nimekuambia, ninachojua operesheni ya kutokomeza ujangili haikufanywa na JPM... shida iko wapi? Si utaje hicho alichofanya JPM?

Au ndo unataka kusema Majangili yalianza kuogopa tu from nowhere!

Rais bora kwa kutumia vigezo vipi?! Ni watu aina yenu ndio wanaomuona JPM ni rais bora! Asilimia kubwa aliyofanya JPM kamalizia tu kazi za wenzake!

Ukitoa ununuzi wa ndege na ujenzi wa SGR, HAKUNA HATA MOJA lililoasisiswa na JPM! Kama lipo, taja hapa!!! Tena hata hiyo SGR alikuta hatua zote zimeshakamilika, na hadi Financier alishapatikana!!

Kweneye SGR huwa namtaja JPM kwa sababu tu alibadalisha Financier lakini hayakuwa maono yake ingawaje mna-force kuonesha eti alikuwa na maono!

Oh! Bila shaka utasema Bwawa la Nyerere kwa sababu hamtaki kuukubali ukweli mchungu aliowaambia Prof. Muhongo!

Mbali ya hayo, nitajie hapa hayo mambo!!

Kwanini nikaulize kwenye chama wakati wewe mpiga mbiu wake, upo! Yataje hapa!!!!

Uthubutu upi ambao aliouonesha!! Hebu yataje hapa hayo mambo ambayo yalipungua manake hata hizo barabara ambazo hazikujengwa kwenye viwango zilikuwa wakati akiwa waziri.

Kwahiyo ndo jambo la kuonea fahari hili! Kwa maana nyingine unakubali serikali ya JPM ilikuwa inafanya mauaji bila kufikisha watu kwenye vyombo vya sheria?

But still watu waliweza kuingiza unga na kupita kwenye mipaka yote yenye askari wa JPM!

So, what's the difference! Anyway, but at least finally umekubali kwamba bado watu walikuwa wanaingiza unga tofauti na porojo zenu kwamba eti "suala la unga linarudi tena" as if lilikishwa!
basi hakuna alichofanya mkuu.
 
basi hakuna alichofanya mkuu.
Nimesema hakuna alichofanya au nimesema tuache haya mapambio yasio na ukweli!!! Kwanza binafsi, kila kiongozi nampa credit yake kwa alichofanya lakini ninapotofautiana na nyie ni pale mnapohangaika kuonesha JPM ndo kafanya kila kitu nchi hii!

Bila aibu mnafikia kujaribu hata kumfananisha na Nyerere!!

Yaani mnasahau wakati JPM aliishia kujenga mabweni tu pale UDSM Nyerere alijenga vyuo sehemu mbalimbali lakini bado mnathubutu kutaka kumlinganisha na Nyerere!!!

Yaani mnasahau wakati JPM kaishia kununua ndege ambazo zimekuwa zikiliingizia hasara taifa, Nyerere alianzisha shirika na kununua ndege!

Yaani mnasahau wakati JPM kaanza jenga reli ambayo ukiinganisha vipande vyotehaivuki hata Dodoma, ni wakati wa Nyerere ndio TAZARA ilijengwa kutoka Dar hadi Ndola Zambia!!!

Yaani seriously mnafikia kumuita JPM ndie rais bora kulik wote... ubora kwa lipi?!
 
mbona hujiamini ndugu yangu,nafsi inakusuta eh???

nasemajee jpm hakuna akichofanya,vyote ni bure.
 
Kiongozi wa hovyo kabisa kupata kutokea nchi hii ni Mwinyi lakini hata yeye yapo aliyofanya! Kwahiyo hata JPM yapo aliyofanya lakini hayamfanyi yeye ndie kuwa kiongozi bora kuliko wote kwa sababu, whether you like it or not, ukweli mchungu ndo huo... mengi aliyofanya ni maono ya waliomtangulia!!
 
Naunga mkono hoja. Kuna coordinated effort ama payroll kabisa. Viza za kwenda India walizipataje, Airport mpya yenye vifaa vya kisasa na trained staff jamaa wamepitaje. Hapa lazima kulikuwa na lubricating grease ya kulainisha mikono ya watendaji.

Drug Business its a lucrative and fast paying one haiwezi kuisha haswa kukiwa na mikono ya watawala.
Kwa hela walizo nazo hawandrug dealers kulainisha watu ni kitu kodogo sana.
 
Kiongozi wa hovyo kabisa kupata kutokea nchi hii ni Mwinyi lakini hata yeye yapo aliyofanya! Kwahiyo hata JPM yapo aliyofanya lakini hayamfanyi yeye ndie kuwa kiongozi bora kuliko wote kwa sababu, whether you like it or not, ukweli mchungu ndo huo... mengi aliyofanya ni maono ya waliomtangulia!!
najua ni maumivu tu yanakuhangaisha mkuu,wala sio wewe huyu.

jpm anapofanya mnayohisi ni mazuri mtasema kwamba ni utekelezaje wa yale waliyoyaasisi watangulizi wake.ila mabaya yote kwa muono wenu ni ya kwake mwenyewe.

kama ametekeleza ilani ya chama chake,ambacho ndio mipango ya watanguulizi wake,ubays wa jpm kwa makada wa chama ni nini??
 
Ni muda sahihi madhambi yote kurudi.

Juzi nimesikia mpuuzi mmoja akisema "mama amesema kazi iendelee, kwahiyo wanafunzi tutawatia mimba na kesi zitaishia police.

Vibaka, najambazi mitaani wanatamba hawana wa kuwazuia.

Nidhamu ya kazi maofisini imepungua.

Yeyote aliemuona jpm mbaya amini nawaambia miaka itapita mingi sana bila kupata rais makini kama jpm.
Sisemi kwamba hakuwa na mapungufu ya kibinadamu hapana. Ila kazi amefanya alinyoosha nchi akaiweka kwenye mstari.

"Vita ya siasa na uchumi ni ngumu sana"

Jpm aliposema amejitoa kwa wananchi wanyonge kuna watu hawakumuelewa.

"Ukigusa mzinga wa nyuki lazima uumie"

Pole sana jpm.
Sio kweli huku kwetu kuna sungusungu kisa vibaka tangu enzi za magu.

Acheni kumchafua mama wa watu aonekane hawezi urais.

Naona team imeandaliwa kisawasawa
 
Back
Top Bottom