Biashara ya baa


M

MWANAMASOKO

Senior Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
196
Likes
0
Points
33
Age
29
M

MWANAMASOKO

Senior Member
Joined Dec 3, 2013
196 0 33
[FONT=&quot]KWA WAFANYABIASHARA YA BAA[/FONT]
[FONT=&quot]Naam ndugu ninataka kushirikiana na mtu ambaye anapenda kufanya biashara ya baa eneo lipo Dar essalaam ilala barabara ya kawawa linavutia sana kwa kufanya biashara hiyo ambapo sisi wenye eneo tunafanya biashara ya mgahawa kwa mda mrefu tangu mwaka 2000 mpaka sasa .Mimi nataka kufungua biashara ya internet café na stationary ila umeme ndo hakuna .Kuna jamaa alilipa pesa ya umeme ila alishindwa kugharamia gharama za kuweka luku na kuvuta umeme hivyo kama unapenda njoo tushirikiane sisi tunakuachia biashara ya baa ila ya chakula unatuachia sisi kwani sitakudai kodi ila utagharamia gharama za kuweka luku alafu wote tunakuwa tunachangia kulipa bili ya umeme itakapokuwa inakwisha.Eneo lipo kibiashara zaidi kwani lipo barabarani na kuna tax zinapaki masaa 24 pia kuna mtu ameweka pooltable mbili anachezesha kuanzia asubuhi mpaka saa 5 usiku na mng’arisha viatu yupo pamoja na waosha magari na eneo kubwa la parking lipo .[/FONT]
[FONT=&quot]Kwa taarifa zaidi tuwasiliane kwa kunitumia meseji kupitia namba hizi(usipige)=0719879608[/FONT]
 

Forum statistics

Threads 1,252,021
Members 481,948
Posts 29,793,275