Bia za siku hizi ni mimaji tu

Bia za siku hizi ni mimaji tu

Kodi zimekuwa nyingi unategemea wapate faida wapi? Dawa ni kujaza ni maji, weka dawa ya maiti pelekea watu wakajimalize hukooo
 
Wachina nao wameamua kufanya yao miaka hii tutakunywa sana mikojo bila kushtukia
 
Pigeni guiness achaneni na hizi beer formula hata hazieleweki mimaji tu then baadae kichwa kinagonga ile mbaya. Mimi nikienda nyumbani ni mwendo wa Heineken au Guinness.
 
Jana Kreti la bia 20 nilibakiza tatu tu.....ila nilifika home bila msaada wa mtu...nikajiuliza wapi kile kimea na shayiri iliyotokota?
Shubaaamit!
 
Ukweli ni kwamba bia nyingi siku hizi zinatengenezewa majumbani hasa kwenye bar za Kimara mpaka mbezi. Beer inayochakaliwa zaidi ni safari na kilimanjaro
Mkuu habari mpya hii halafu mie mdau wa Safari
 
Back
Top Bottom