miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,803
- 49,109
Mkuu utakuwa ulikuwa nyama za mafuta ukala bia huwezi kupepesuka ... ukifanya hilo kosa hulewi bar wanaofanya biashara hasa minyama yao ya mafuta hupati steam mapema ...
Mkuu bila shaka una kautaaram kidogo kwenye moja moto mbili baridiMkuu utakuwa ulikuwa nyama za mafuta ukala bia huwezi kupepesuka ... ukifanya hilo kosa hulewi bar wanaofanya biashara hasa minyama yao ya mafuta hupati steam mapema ...
opposite na Millenium Towers!Mkuu utakuwa ulikuwa nyama za mafuta ukala bia huwezi kupepesuka ... ukifanya hilo kosa hulewi bar wanaofanya biashara hasa minyama yao ya mafuta hupati steam mapema ...
Siku moja tembelea anga zangu utajionea mwenyewewewe sio mnywaji inaonekana
sio bia tu hata soda zamani coca mtoto hanywi ukifungua gesi inatoka kwa mikwalaMKUU wewe ni mlevi.Pombe haikuleweshi tena.
Hapo wanatabia mbaya?opposite na Millenium Towers!
Muonjaji kazeeka huyo ... nitaongea nao wabadilishe muonjajimkuu bia ya kwanza tu nahisi MIMAJI?????
UmfilisiSiku moja tembelea anga zangu utajionea mwenyewe
mh.. basi magomeniHapo wanatabia mbaya?
Ha ha ha siku hizo nipo mbali wewemh.. basi magomeni
Atakua alikula dagaa na kufakamia biaAcheni utani kule zenji mtu kanywa safari sita tu,kaongea mambo yote yaliyomjaa moyoni mwake
EFC..... duhHa ha ha siku hizo nipo mbali wewe
Endelea kuotea badoEFC..... duh