Bia za siku hizi ni mimaji tu

Bia za siku hizi ni mimaji tu

Walau SAFARI LARGER ndo wanaendelea kutumia kimea halisi
 
images
Nikiona hii picha koromeo linapwita*2
 
Hamia kwenye mvinyo wa dodoma..wachana na hayo maji ya mbolea kutoka bonde la mchikichini na kibasila.
 
Haha ukipaga Balimi ndogo nane lazimi uimbe kibuinsampimpa au bakanja. Haha. Hiyo inatwa fast jet. Yaani chap ushafika
 
Back
Top Bottom