ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,872
Zitafika tu maana yenyewe nyuma wameandika strong beer kitu kinacheza 5.8 AlcBar za mitaa Yangu hapa MwanYamala sijaziona mkuu labda sijajaribu kuulizia maana nilishafahamika wa guiness
Zitafika tu maana yenyewe nyuma wameandika strong beer kitu kinacheza 5.8 AlcBar za mitaa Yangu hapa MwanYamala sijaziona mkuu labda sijajaribu kuulizia maana nilishafahamika wa guiness
Mara nyingi zilikuwa zinauzwa kwenye vibanda vya Mangi pamoja na bar ndogondogo ila zimefunikwa na mwendokasivipi kuhusu UKAWA?
In vino veritas.Acheni utani kule zenji mtu kanywa safari sita tu,kaongea mambo yote yaliyomjaa moyoni mwake
[emoji23][emoji23][emoji23] ile Ya kule wanaiita extra strong sijui ina Alc ngapi ila ni chombo kizito ni kwa ajili Ya viumbe wa Shoka tu first time nainywa unyamwezini na ndugu zangu niliamka saa nane mchana wakat wanaume walishaamka na wameenda kukata kuniZitafika tu maana yenyewe nyuma wameandika strong beer kitu kinacheza 5.8 Alc
Hiyo heineken huko ndio inaongoza kwa kuchakachuliwa, wachinei ndio wanaziharibu mno,Hata castle lite inachakachuliwa. Utakuta ile alama ya ubaridi haibadiliki rangi hata uweke kwa freezer. Konyagi. Valueu. Kiroba na K vant hata Manzese wanazitengeneza. Nahamia imported whisky or Heineken. Hii takataka ya bongo Leo Ina taste hivi kesho vile kuharisha kwingi wachakachuaji hawachemshi maji apana taka tena
Buku jero unakunywa Balimi kubwa a.k.a Bombardier safi kabisa
Mbona 2500 tu siku hizihalafu be mbaya sana
Situmii kilevi.Wee unakunywa ili ukuze kitambi?
Hata naniliu ni hivyohivyo sio tam kabisa[emoji13] [emoji13] [emoji13]![]()
Ukweli ni kwamba siku hizi wanywaji wengi wananywea fasheni tu na ndio maana si aghalabu kukuta walevi wa kupepesuka kwa nini kwa sababu BIA zenyewe hazilevi ni MIMAJI TU
![]()
Ukweli zaidi ni kwamba mahitaji yameongezeka (hasa sikukukuu) ilihali uzalishaji ni ule ule hvyo kimea hakikai kikaiva vizuri kwani BIA inazalishwa siku hiyo hiyo na kuwekwa sokoni
Hili ni eneo la kuibia watu pesa tu kwani mimaji unayokunywa kwa 2500 ungeweza kunywa kwa jero au buku tu
![]()
hili nimeligundua hata kwa KONYAGI PIA hadi wanahangaika na majina sijuio orijino nk
niko na na NANE hapa
Haswaa ameshafuzu huyu aje huku kwa watu wazima ila asije moja kwa moja kwenye GIN aanze na Whiskey kwanza like Jack Daniel, Grants nkItakuwa ushakuwa chronic achana na bia kunywa viroba au gin ndo SAA hizi