Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,715
- 11,324
Sasa hayo ni maji yaliyokuwa packed huko AmsterdamKunywa kitu from Amsterdam mkuu kitu naturally kabisaaaa ila bei buku 5 na kulewa mpaka vikatoni vi2
Sasa hayo ni maji yaliyokuwa packed huko AmsterdamKunywa kitu from Amsterdam mkuu kitu naturally kabisaaaa ila bei buku 5 na kulewa mpaka vikatoni vi2
Heineken ni maji mkuu?Sasa hayo ni maji yaliyokuwa packed huko Amsterdam
Mdebwedoooooo (in joti's voice)kwishasema zenji ati hata akinywa glasi ya gongo tu anabonyezwa
Heinken unalewa?Heineken ni maji mkuu?
Mimi sinywi kulewa nikitaga kulewa nakunywa J.DHeinken unalewa?
Kuanzia Heineken 16 unaweza kuanza kusikia stimu kwa mbaaali hasa kama ulishazoea mwendo kasi au lusekeloHeinken unalewa?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] maongezi ya walevi matam sanaBia kumi na Saba tu. Pole Sana. Wenzio tunapiga Lusekelo na kusukutua na kreti unusu ya safari
Hika adabu yako sisi ni wanywaji[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] maongezi ya walevi matam sana
Kweli kabisa. Mimi mwenyewe nina ndovu kadhaa lakini mkavuu!!;Hika adabu yako sisi ni wanywaji
Jokes mkuuWAKATI WOTE NI WAKATI WA BIA inategema na kazi yako hujui huenda mimi ni mlinzi wa usiku je