Bia za siku hizi ni mimaji tu

Bia za siku hizi ni mimaji tu

6.JPG
HuYu ndo Marketing manager nn wa brand ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama ndiYe anasadiki uzito wa chombo sio vile vimiss miss vYa bia zingine
 
Kitu kingine hatari ni Konyagi Siku hizi ladha ya konyagi hailewiki Leo hivi kesho vile
 
Nilipumzika kidogo kupatapata.Sasa mkuu hebu nunua kakreti kamoja tukafunze adabu ili nipime uhalisia wa uyasemayo🙂
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwishasema zenji ati hata akinywa glasi ya gongo tu anabonyezwa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dr. Abdallah wa Zanzibar, sina uhakika, kama atakubaliana na wewe. Wasiliana naye akupe majibu ya bia aina ya safari. Sita tu zikamfanya athibitishe msemo wa Kilatini " in vino veritas." Chezea formula ya MTZ.... Posuta mkombe.
 
Haha ukipaga Balimi ndogo nane lazimi uimbe kibuinsampimpa au bakanja. Haha. Hiyo inatwa fast jet. Yaani chap ushafika
Mkuu nimecheka sana...nimemkumbuka jibee mpyana mukulu bin'adam na kijana wetu fali ipupa!
 
Karibuni kwenye gambe la kienyeji la huku kwetu Muyama Kigoma lijulikanalo kama kayoga ama kwa jina la asili Ugwagwa, ni fundo moja tu huamki kama hujala vizuri
 
Watu aina hii ndio wana justify kauli ya pengo ionekana ina mashiko,una ela ya kunywa bia nane usawa huu...
 
Kama umekunywa ukiwa na stress hata ungepewa bia zimejaa katika fuso na bado usingelewa.
Wenzio tunakunywa wakati tuna furaha.
 
Back
Top Bottom