isambe
JF-Expert Member
- Feb 14, 2008
- 2,195
- 1,410
Sasa hivi nashangaa nimekuta kila pahali dsm zinauzwa 2500/- , 3000/-, jinsi gani inavoyoonyesha haina mpango, kama unataka ku enjoy kitu uhakika piga Windhoek, ile imeenda shule halafu naona mzee wa eskroo anaitolea macho sana hamna kuchakachua.halafu be mbaya sana