Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Ukweli ni kwamba siku hizi wanywaji wengi wananywea fasheni tu na ndio maana si aghalabu kukuta walevi wa kupepesuka kwa nini kwa sababu BIA zenyewe hazilevi ni MIMAJI TU
Ukweli zaidi ni kwamba mahitaji yameongezeka (hasa sikukukuu) ilihali uzalishaji ni ule ule hvyo kimea hakikai kikaiva vizuri kwani BIA inazalishwa siku hiyo hiyo na kuwekwa sokoni
Hili ni eneo la kuibia watu pesa tu kwani mimaji unayokunywa kwa 2500 ungeweza kunywa kwa jero au buku tu
hili nimeligundua hata kwa KONYAGI PIA hadi wanahangaika na majina sijuio orijino nk