Bia za siku hizi ni mimaji tu

Bia za siku hizi ni mimaji tu

Ukweli ni kwamba bia nyingi siku hizi zinatengenezewa majumbani hasa kwenye bar za Kimara mpaka mbezi. Beer inayochakaliwa zaidi ni safari na kilimanjaro
DAAAH nanywa castle larger lakini wapi
 
BgSxaCxIAAA0YCN.jpg

hamna kitu
 
Chupa-baridi-za-Serengeti-Platinum.jpg
 
Attachments

  • Chupa-baridi-za-Serengeti-Platinum.jpg
    Chupa-baridi-za-Serengeti-Platinum.jpg
    35.3 KB · Views: 65
Hata castle lite inachakachuliwa. Utakuta ile alama ya ubaridi haibadiliki rangi hata uweke kwa freezer. Konyagi. Valueu. Kiroba na K vant hata Manzese wanazitengeneza. Nahamia imported whisky or Heineken. Hii takataka ya bongo Leo Ina taste hivi kesho vile kuharisha kwingi wachakachuaji hawachemshi maji apana taka tena
 
images

castle lite ni mimaji hata kabla ya kuchakachuliwa
 
Suluhisho nitakua nanunua castle lite mlimani city na kunywea nyumbani. Lakini no nikilewa naweza kujichanganya na kudhani mama ni barmeid halafu nikamshika shanga
 
Ni kweli kabusa TBL wanatuchezea sana, siku hizi wanatengeneza BIA wakiwa tayari na makemikali yalioandaliwa kama yale ya Soda au Super dip, ukitaka kujua ukweli wa hili angalia asaiv pale TBL kuna upungufu mkubwa wa mashudu yanayotokana na kimea, asaiv mashudu ni kidogo sana sana
 
Back
Top Bottom