hata mimi ninashangaa. taifa limepoteza kichwa cha maana maana hata baba yake ni mtu wa kutegemewa (sijui kama bado yuko hai). Top 3 ya darasa kwa olevel alikuwa hakosi. high school ndio alipata marks mbaya (div 3 mbaya hadi kuamua kwenda russia).
duuuh! uko vizuriNa hapo ni chumbani kwenu au .....?...
Jamani!!!Na hapo ni chumbani kwenu au .....?...
Wewe ni mulongo kabisa, sema ukweli ulito.mbwa na roho yako itapona. Siyo vibaya, asante sana kwa taarifa lakiniYule shida yake ni hela. Hana shida na tunDa. Anakuja kama mtu mwema anayefwata maadili.
Kifupi hakuonja tunda.
Me sina hiyo kutamani waliosoma nje maana hata mimi nimesoma nchi zinazoeleweka (UK)
Wewe ni Great thinker aisee!! Hilo pia linawezekana.Hawa wamemwagana tu kwa hasira mmoja kwa kuwa ana access na social media anakuja kumchafua,suppose na yeye aanzishe uzi akidai mambo mabaya juu yako nani tumwamini kati yenu?
Just thinking the same chief....lohHuyo jamaa mbona anaonekana mporipori....unawezaje kumpa hela mporipori kama huyo
Embu nione room yako. ..Hapo ni Russia kwenye student room ( picha imewekwa facebook kwa kumbukumbu). wewe room yangu haiwezi kuwa huo uchochoro
Hahaha...Just thinking the same chief....loh
Huenda jamaa alipapasa mpaka tigo!!Katafunwa huyu. Ana uchungu wa kutafunwa kwa pete ya elfu 10 ya kuchonga kwa sonara. Awe mpole tu hata alie vipi haibadilishi chochote.
Hata mimi naonaga wazungu wengi wa Russia ni walevi kishenz ogopa unampokea mgen airport amelewa had unamshika mkono.Kuna jamaa yangu alienda russia kwa training ya mwezi m1 tu akarudi ni chapombe hatari, nahisi kule baridi inafanya watu wanakunywa sana pombe na sigara na kuweka kando kilochowapeleka! Na pia Russian girls wanashoboka sana kwa blacks so ukiwa mjinga utapotea
Preta wewe mchokozi? Japo nimelipenda Sana swali lako maana limempa hasira kajibu kwa jazba.Na hapo ni chumbani kwenu au .....?...
Room yako iko Kama national stadium mi mwenyewe naikumbuka.Hapo ni Russia kwenye student room ( picha imewekwa facebook kwa kumbukumbu). wewe room yangu haiwezi kuwa huo uchochoro
Kweli kabisa hawezi kuvishwa Pete bila kuonjwaLazma atakuwa alishampa lile tunda alafu akajua huyo ndo mme wa kumuoa mtu kasoma rashia,kajua kapata kumbe sio,