Best Tanzanian university rank 2015

Best Tanzanian university rank 2015

Acha ujinga kufanya nini kwa mafisadi we unasoma ufisadi pale ??? Kuwa mkweli kwamba ulipata divisheni chafu ndo maana ukazingua kuja Ud watu wengi huwa wanapenda kuja hapa ila cutoff point wanachemsha , No one like Ud in Tzthat iz why kila kitu tunapew fest priority Boom pale kati ngoja nikasaini arafu

Mhhh wewe unasoma UD ???
 
Nimepitia hataka haraka nimeona nne bora ni
1.UDSM
2.Open Univervity
3.Hubert Kariuki Memorial University
4. Mzumbe

Duuu basi nahitaji kula mchicha maana top 100 hizo za Africa kwa Tanzania nimeona vyuo vitatu
1UD
2Sokoine
3muhimbili
 
UDSM inatakiwa ijiangalie sana. Maana naona kila mwaka inashuka na wakubwa hawaoni. Pia nimeangalia SUA inapanda kwa kasi sana. Mfano, UDSM imekuwa inashika namba 1-6 kwa Afrika sahizi inaonaonyesha ya 37.
 
Kwa majadiliano haya nimegundua kumbe UDSM bado ina heshima kubwa Tanzania.
 
Duuuu ebu pitien hii 100 bora za afrika ndo mtajua kama hyo thread ya ukwel au imepikwa
Africa | Ranking Web of Universities

Nimepitia hataka haraka nimeona nne bora ni
1.UDSM
2.Open Univervity
3.Hubert Kariuki Memorial University
4. Mzumbe

Duuu basi nahitaji kula mchicha maana top 100 hizo za Africa kwa Tanzania nimeona vyuo vitatu
1UD
2Sokoine
3muhimbili
Sio ule mchicha tu bali ulitakiwa ujiulize huyu jamaa katoa wapi hii kitu maana kwa akili ya kawaida hata kama mtu ana matatizo ya macho asione kama alivyoona wewe. Comment yako ni #142 wakati hapo kati zimepita comment kibao, anyway nilikuwa najibu post #51 kama alivyoweka link mdau kajigi hivyo ukifungua hiyo link hapo juu kwa kajigi ndo unakuta hivyo nilivyoorodhesha mie
 
Last edited by a moderator:
: Hahaha
Tupe source???
Hizo factor ni za kitoto kishenzi dysain kam zimetungwa

Et openness(nini hiki?)
Their presence(kingereza kibovu)

DIT hakiwezi kuwa mbali hko abadani

Mwisho embu tupe source
[14:13, 3/7/2015] QS. Puyol: Hakuna kiingirishi cha best university ni top university watu mpka wanapublish kitu mtandaoni wanakuwa wameget rid of unnecessary mistakes
[14:13, 3/7/2015] QS. Puyol: 4cu.org.tz ndo huwaga wanafanyaga research za hizi mambo za vyuo

depends on...
.Research done by particular universities to the country
2.output product
3.facilities
etc etc

thanks #GT Q's. Poyo Alrx
[14:13, 3/7/2015] QS. Puyol: to Universities and Colleges
> Africa > Universities in Tanzania
List of top Colleges and Universities in
Tanzania by University Web Ranking.
Link to it ♥
UNIVERSITIES IN TANZANIA
by 2015 University Web Ranking
SEARCH
Searching all Tanzanian Universities websites
University Location
1 University of Dar es Salaam Dar es Salaam ...
2 Sokoine University of
Agriculture Morogoro ...
3 Tumaini University
Makumira Arusha
4 The Hubert Kairuki
Memorial University Dar es Salaam
5 St. Augustine University of
Tanzania Mwanza ...
6 Muhimbili University of
Health and Allied Sciences Dar es salaam
7 Ardhi University Dar es Salaam
8 The University of Dodoma Dodoma
9 Catholic University of
Health and Allied Sciences Bugando
10 Mzumbe University Morogoro
11 Mount Meru University Arusha
12 St. John's University of
Tanzania Dodoma
13 Zanzibar University Zanzibar City
14 Nelson Mandela African
Institution of Science and
Technology Arusha
15 The State University of
Zanzibar Zanzibar City ...
16 Muslim University of
Morogoro Morogoro
17 Sebastian Kolowa
Memorial University Lushoto
18 Teofilo Kisanji University Mbeya
19 Mbeya University of
Science and Technology Mbeya
20 St. Joseph University in
Tanzania Mbezi Luguruni
21 The University of Arusha Arusha
22 University of Bagamoyo Dar es Salaam
23 International Medical and
Technological University Dar es Salaam
24 United African University
of Tanzania Dar-es-Salaam
25 Eckernforde Tanga
University Tanga
[14:13, 3/7/2015] QS. Puyol: Huyu boya atakuwa anasom open university
Anajipigia promo kwa waajiri
Atazunguka na bahasha mpka pair kumi zote ziishe
 
chipwilu chibwade,

HAHAHAHAHAHAHAAAAAAAAAAAAA HAKUNA CHA ST. NANI WALA NINI? NDANI YA TOP 10 CIO MCHEZO KUINGIA HUMO. KAZI KWENU WATOTO WA ST's
 
Last edited by a moderator:
Hao wanaopinga OUT,watoke ST.smthing wakafanye mitihan OUTwaone kama watapata A wanazopata huko kwao

siyo kupata A hata kufaulu tu itakuwa kazi 'watafute paper za out za MBA (finance) waone. halafu hakuna ten papers za kuongezea course work
 
mzee wa kismati,

Kuku Wewe, OUT ni level nyingine kabisa kwasasa...endelea kukalili utumbo hivo hivo.
 
Last edited by a moderator:
Yaan kuna vyuo mnapenda MISIFA TU vichwani ufuto!! igeni mfano kutoka SUA, wapole tunaojitambua! si kwamba SUA hatupend umaarufu tunapenda sana ila tunachukia MBWEMBWE ZAKE!
 
Nimepitia hataka haraka nimeona nne bora ni
1.UDSM
2.Open Univervity
3.Hubert Kariuki Memorial University
4. Mzumbe
pole mzumbe kwa sub Saharan kipo 970 polen sana ndugu zangu wa mzumbe tafuteni mipango mipyaa ......chuo kina ratiba za ajabu kweli
 
Sio ule mchicha tu bali ulitakiwa ujiulize huyu jamaa katoa wapi hii kitu maana kwa akili ya kawaida hata kama mtu ana matatizo ya macho asione kama alivyoona wewe. Comment yako ni #142 wakati hapo kati zimepita comment kibao, anyway nilikuwa najibu post #51 kama alivyoweka link mdau kajigi hivyo ukifungua hiyo link hapo juu kwa kajigi ndo unakuta hivyo nilivyoorodhesha mie

Ud baba lao weweeee
 
Last edited by a moderator:
Kwa majadiliano haya nimegundua kumbe UDSM bado ina heshima kubwa Tanzania.

Gonga like kijana ud tunatisha wewe mziki wa hapa siyo kabisa asee usikilizie tu bombani laxma iwaburuze wakina something Uko tisha sana Ud forever
 
UDSM inatakiwa ijiangalie sana. Maana naona kila mwaka inashuka na wakubwa hawaoni. Pia nimeangalia SUA inapanda kwa kasi sana. Mfano, UDSM imekuwa inashika namba 1-6 kwa Afrika sahizi inaonaonyesha ya 37.
Sua anasubiri sana
 
Back
Top Bottom