Best Tanzanian university rank 2015

Best Tanzanian university rank 2015

Kufanya nn kwa mafisadi -----

Acha ujinga kufanya nini kwa mafisadi we unasoma ufisadi pale ??? Kuwa mkweli kwamba ulipata divisheni chafu ndo maana ukazingua kuja Ud watu wengi huwa wanapenda kuja hapa ila cutoff point wanachemsha , No one like Ud in Tzthat iz why kila kitu tunapew fest priority Boom pale kati ngoja nikasaini arafu
 
CHIPWILU!

Kiongozi kugoogle tu kunaweza kukupa takataka ndiyo maana kuna somo la searching techniques, kwani wewe umetafuna au umetafuniwa?

hizo msg zimecirculate toka asubuhi kuanzia kwenye wasapp, blogs lakini hazionyeshi source so usilazimishe kusearch kwenye google, ungetaja site accredited kwa kazi hiyo!Top Universities in Tanzania | 2015 Reviews & Rankings unamaanisha hiyo?

Maelezo ya mtoa mada kuna Institutes na University kitu ambacho nakikosoa labda tuna school of thoughts tofauti mno!!
Kumbe utaratibu uliotumika ni ukipata ujumbe una forward tu bila kuangalia chanzo cha habari
 
Acha ujinga kufanya nini kwa mafisadi we unasoma ufisadi pale ??? Kuwa mkweli kwamba ulipata divisheni chafu ndo maana ukazingua kuja Ud watu wengi huwa wanapenda kuja hapa ila cutoff point wanachemsha , No one like Ud in Tzthat iz why kila kitu tunapew fest priority Boom pale kati ngoja nikasaini arafu

Tumekungundua husomi ud hivo hutusumbui kamwe. Sihitaji kelele zako za St. npo ofsini rytnw
 
Nimepitia hataka haraka nimeona nne bora ni
1.UDSM
2.Open Univervity
3.Hubert Kariuki Memorial University
4. Mzumbe

japo sisomi UD nafarijika kuona angalau chuo kimoja tz kuingia top 100 but tuwe wakwel UD inazidi kushuka kila cku kutoka no. 4 mpaka 37! vyuo vichanga vinaanza kuja juu cjui baada ya miaka 10 ka kutakuwa na chuo tz kwe 100 bora! UDOM ni ya 2007 lakin inakuwa kwa kasi!"The baby is growing fast and quite soon it shall start walking"
 
Nimepitia hataka haraka nimeona nne bora ni
1.UDSM
2.Open Univervity
3.Hubert Kariuki Memorial University
4. Mzumbe

japo sisomi UD nafarijika kuona angalau chuo kimoja tz kuingia top 100 but tuwe wakwel UD inazidi kushuka kila cku kutoka no. 4 mpaka 37! vyuo vichanga vinaanza kuja juu cjui baada ya miaka 10 ka kutakuwa na chuo tz kwe 100 bora! UDOM ni ya 2007 lakin inakuwa kwa kasi tusiiponde!"The baby is growing fast and quite soon it shall start walking"
 
Hapo wamechanganya pombe na chai, hivi institutes ni university? Hata kama zinatoa degree haziwezi itwa university hapo kuna michanganyiko, na mahaba

Nakuunga mkono mkuu. Mfano, huwezi kurank constituent colleges pamoja na fully fledged universities. 4icu.org hawajawahi kufanya kosa la namna hiyo. KCMUCo bado ni constituent college, na hata vyeti vinatokea Tumaini University Makumira, sasa utairank vipi hapo?
 

Attachments

  • 1425885030545.jpg
    1425885030545.jpg
    65.8 KB · Views: 253
  • 1425885071955.jpg
    1425885071955.jpg
    66.5 KB · Views: 236
  • 1425885122210.jpg
    1425885122210.jpg
    54.7 KB · Views: 234
first year bhana!research na publications zinachangia sana kuinua chuo.walimu wa udom wanafanya sana
 
unaishi kwa kukariri Udom si ile ya 2007 ya sasa ni untouchable subiri after few yrs to come

Wewe sio kwa kukarr udom thaman ya gamba kuipta ud bado sanaa, hapo mnajivunia majengo bt gamba la kawaida tu hamna tofaut na colleges zngne....
 
UBISHI NI KITU KIBAYA SANA ETI WASOMI WANABISHANA NA WASOMI WALIO WAZIDI.KIGESO CHA RANKING KIPO WATU WANAJG'ANG'NIA CHUO CHA ZAMANI HAKIWEZI KUPITWA NA CHA SASA? LOOO# hivi mnaobishia matokeo bila sababu ya mcng nyie ni wasomi kweli?.kigezo kikubwa cha outcome mnakibishia.
 
Wewe sio kwa kukarr udom thaman ya gamba kuipta ud bado sanaa, hapo mnajivunia majengo bt gamba la kawaida tu hamna tofaut na colleges zngne....
ha HAPA UNAAIBIKA KWANI UMECHANGIA KWASABABU ULITAKA KUSIFIA CHUO CHAKO ILA UBORA WA CHUO HAUSABABISHWI NA UFAULU AU KUFELI KWA WANACHUO BALI NINAMNA ZAO LA CHUO LINAVYOAJIRIKA KWA WINGI PAMOJA NA UBORA WAO
 
Back
Top Bottom