Best Tanzanian university rank 2015

Best Tanzanian university rank 2015

pole mzumbe kwa sub Saharan kipo 970 polen sana ndugu zangu wa mzumbe tafuteni mipango mipyaa ......chuo kina ratiba za ajabu kweli
Umeonaa eeh chuo ka shule ya msingi kusoma kwa shift ndo masuala gani hayoo Venue haxitoshi Poor Mzumbe lol!!!!
 
acheni ubishi wa kijinga hata ukisoma ud xo what, kuna watu wamesoma iyo eckernford na stil life yao iko poa xo ww komaa na chuo huku umepaukaaa mtaani
 
unakidhalilisha chuo chetu pendwa kwa uandishi huu kijana.

Owkey mkuu Perry nilikuwa sijui kwamba lazima uandike kikazi zaidi but swali kwako tafadhali upo mwaka wa ngapi samahani lakini
 
acheni ubishi wa kijinga hata ukisoma ud xo what, kuna watu wamesoma iyo eckernford na stil life yao iko poa xo ww komaa na chuo huku umepaukaaa mtaani
Tunazungumzia linkage ya vyuo na siyo kazi inabidi tuwe waelewa kwa sababu kazi siku hizi zinaenda kindugu jamani
 
xx hapo umexoma out hvyo je ungexoma ud c ungetemea mate wanafunz hap centa ya upanga,maana hcho co chuo n ceñta ya vilaza
chuo dar ud,ardh n muhimbili
Ni shiida Mungu anatambua hilo ndio maana hugawa kimafungu.
 
Aisee sasa wew Asst lecture uliyesoma OuT unaona n fahari kutukana matusi kwani MTU ukimwelekeza bila matusi unakuwa siyo msomi we need to change jamani!!! Other wise itakuw n not jamii forum but facebook

So sorry rafiki kwa lugha kali kiasi hicho but kuna jamaa ndio kanifanya Mie niandike nilichoandika
 
Kwa kweli hongereni sana UDOM!!... Waru walikuja na kashfa nyingi sana kuhusu UDOM but now Mzumbe, IFM na wengine wanasubiri!!!! big up!!
mmm ndugu utalinganisha udom na ifm na mzumbe?? .huoni wingi wa wanafunzi na malectures?.udom kuna llecturers wengi sana. input na output yaani wanaodahiliwa na kumaliza ni wengi sana.vivyo pia lecturers wake ni wengi na wanafanya utafiti na majarida mengi wanaandika.so wapo juu kwa hilo.ila kwa upande wa perfomance,sizani kama mzumb na ifm vipo chini ya udom mkuu. HII RANKING INAANGALIA VITU VINGI IN GENERAL AMBAPO INAWEZA IKAPELEKEA CHUO KUWA JUU KWAAJILI YA KITU FULANI PEKEE,EITHER KWA WINGI WA WANAFUNZI NA UTAFITI. ukitowa wingi (input output ratio,presense,information avaiilability,OPENESS ,basi kitakuwa chuni tu...
HII RANK SIO ABSOLUTE BUT IS REASONABLE.
 
Back
Top Bottom