Best Tanzanian university rank 2015

Best Tanzanian university rank 2015

Kwani huko Tanga kuna nini :what: maana shule za mwisho zimetoka kwao na chuo cha mwisho kimetoka tena kwao kweli kazi wanayo
 
chuo cha kata mnataabu xn,
krb udsm

Udsm mnabebwa na historia na ukongwe lakini product zenu mbovu sana especially za ualimu ni mbovu ,maneno mengi,ubishi mwingi, mnajifanya mnajua vitu lakini Hamna lolote ,msipobadilika field mtakuwa mnafanyia chuo kwenu, maana sa izi kila sehemu hawawataki .
 
Udsm mnabebwa na historia na ukongwe lakini product zenu mbovu sana especially za ualimu ni mbovu ,maneno mengi,ubishi mwingi, mnajifanya mnajua vitu lakini Hamna lolote ,msipobadilika field mtakuwa mnafanyia chuo kwenu, maana sa izi kila sehemu hawawataki .

unaweza kuudhibitishia umma wa watanzania hayo unayoyasema mkuu?
 
Udsm mnabebwa na historia na ukongwe lakini product zenu mbovu sana especially za ualimu
ni mbovu ,maneno mengi,ubishi mwingi, mnajifanya mnajua vitu lakini Hamna lolote ,msipobadilika field mtakuwa mnafanyia chuo kwenu, maana sa izi kila sehemu hawawataki .

Mkuu, naona umeandika tu ili na wewe uonekane kwamba ume-comment. wivu huu utawaisha lini.?
 
Mambo yanabadilika ndugu zang,Hata sku moja sitakuja kushangaa UDOM kukaa no1 kwaTZ,Najua UD watabisha,tusubir
 
Sishangai Mzumbe Kupitwa na OUT ,mi siko OUT,lakin mfumo wa usomaj wa Mzumbe ni mbov mno nina ndug yang yupo hapo!
 
Mkuu, naona umeandika tu ili na wewe uonekane kwamba ume-comment. wivu huu utawaisha lini.?
Udsm wanajikanyaja wenyewe wanapotoa post za first year zilizoambatana na matokeo yake ya kidato cha nne na cha sita.Nilishangaa kuona koz ya washona cherehani kwa first year wa 2014 wamechukua hadi daraja la nne.

Kitu kingine cha ajabu,kuna watu nawafahamu walikosa vyuo mara ya kwanza kutokana na kuomba coarse zenye competition zilizopo Udom,Sua na Mzumbe hatimaye wakafanya application kwa mara ya pili kwenye coarse zenye nafasi na wakapata pale Udsm,chaajabu leo hii watu hao hao wanaviponda vyuo vilivyowatosa na baadhi yao wapo humu JF niwataje?.

Ud tutakiheshimu kama chuo kikongwe Tz hata magofu yake yanadhihirisha ila tutakidharau kwa kutoa vilaza wanaoamini chuo bora ni hiko tu bila kufanya uchunguzi wa kina.
 
True mkuu mfano kuna St. something ile mtu unakuta anasoma course hadi 11 matokeo yake anachanganyikiwa wanasoma kifaransa kwa semester moja sasa hivi wameanza kusoma Kichina kwa Semester moja ni chuo naona kipo nje ya masomo ya vyuo vikuu bongo Dini wanafundisha zote kwa wanafunzi dini ina nafasi gani kwenye professional Kwa kweli ST. AUGUSTINE WAKO SHALLOW.

hivyo ni kweli . kuna jamaa yangu mmoja anafanya msc finance st fulani ana A NNE wakati namjua ni kilaza kweli
 
ST.sthing hapo zilipo n sahihi,mi nina jamaa anasoma SAUT,wanasoma koz mpaka 13 kwa semista,alaf ana A kibao wkt kilaza
 
Nawaheshmu sana graduates kutoka udsm,sua,muhimbili,out na atleast watakaoanza kugraduate udom kuanzia mwaka huu..
 
ST.sthing hapo zilipo n sahihi,mi nina jamaa anasoma SAUT,wanasoma koz mpaka 13 kwa semista,alaf ana A kibao wkt kilaza

sasa kozi 13 mtu anazimudu vip,au ndo bora liende tu?
 
swahili state,

Wacha uongo,,udsm mfn law mwaka huu wamechukua 1.3-1.7, pspa wamechukua 1.3-2.9 heritage mpk dvs3 wamechukua
bt hakuna 4,

mchiz wangu ana4 yuko udom,baed
na alitak ahamia petrolium na walimkunbalia kajipima kaon hafit kaendelea ed,
udom n zoazoa,km dem mhaya
 
Last edited by a moderator:
lukubuzo Samsis,

Acha uongo petroleum eng. kuhamia udom utasota sana kwanza lazima uwe na matokeo mazuri wanafunzi wengi wamejarib kuomba kubadilisha kuhamia hio kozi wamekataliwa labda ktk college nyingine ila c o college of earth's science.

Jarib kutafuta matokeo ya walochaguliwa hio kozi ndo utaujuwa ukweli.
 
Last edited by a moderator:
chipwilu chibwade,

Open University wako vizuri ila wananiudhi hawana Masters ya Mathematics by Course work. Ila siku za usoni itashika namba 1. Full Congrats to Prof. Toly Mbwete.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom