Best Tanzanian university rank 2015

Best Tanzanian university rank 2015

Hahaa😂😂😂😂 et udom ya 836 👎👎👎
 
Hapo wamechanganya pombe na chai, hivi institutes ni university? Hata kama zinatoa degree haziwezi itwa university hapo kuna michanganyiko, na mahaba

Takwimu ya hovyo kabisa hii,,,Universtiy na Institutes wapi na wapi?
 
Muda C mref UDOM itashika no1 kwa namna inavokuja juu,najua mlioomba mkakosa mtakataa,wiv tu!lakin ukwel utabak palepale
 
Hawa jamaa kwa miaka michache ijayo wanaweza wakashika namba moja.. Sababu ni moja tu..! Wengi wanaosoma OUT wako very determined, matured na mtu kaenda kusoma kweli!!!... Kwingine huku ni sarakasi tu..,,

Ilikuwa kazi kusema nasoma OUT hapo awali!, ila kwa sasa nasema kifua mbele kwamba I graduated from OUT.

I'm enjoying!!
 
Ilikuwa kazi kusema nasoma OUT hapo awali!, ila kwa sasa nasema kifua mbele kwamba I graduated from OUT.

I'm enjoying!!

OUT ya sasa haina mfano, Prof. Mbwette kafanya kazi kubwa sana kukiweza chuo katika mstari mnyoofu, kwasasa ina Staff/Human Resources wengi na wenye quality ya hali ya juu sana compared to kina Mzumbe, DIT, UDOM, Ardhi, SAUT, TEKU, MAKUMIRA, yebo yebo St. Joseph etc...Foolish and ignorant people bado wamekariri ya miaka ya 1992
 
TEAM UD oyeeeeeeeeeeeeeeee!!!! naona kama kawaida tunaendelea kuchomeza Bongo nothing above us , Udsm am proud to be there the best University in Tanzania ever, The Home of intellectuals . We are together Mlimani
 
Ninajamaa yang yuko OUT nimeona msul wao,kwa kwel sishangai kuwa hapo walipo,OUTya sasa huwez fananisha na hiz ST.smthng
 
Zgerald95,hiv unaifaham UDOM ya leo vzr unayotaka kufananisha na mzumbe ambao wanasoma kwa shift,mda mwing wako likizo
 
Back
Top Bottom