Best PC games

Best PC games

Mkuu tupe link yoyote tupakue midude hiyo
Bro nenda site za torrent ila uwe na utorrent au bit torrent!! Utasearch for hiyo game then chagua yenye seeds nyingi download kitu!!

Lalini kumbuka: Kufanya hivyo ni kula jasho la mtu bure!!
 
mimi games zangu ni za strategy tu napenda sana turn based games, nacheza age of heroes online (aoho), ancient empire, fire emblem, final fantasy, xcom enemy unknown, etc pia nacheza kidogo mpira tena PES tu, Fifa silipendi halina super Heroes
Mkuu naomba uorodheshe game za strategy unazozipenda maana na mm napenda hizo pia kuliko action

Ikiwezekana naomba na links kbs
 
Hawa jamaa ni balaa! Kuna game zao nyingine kama Max Payne, Red Dead Redemption na nyingine kibao!!
Ila kwa series za GTA jamaa wamefunika!!

natamani safari hii characters,buildings ziwe za Africa.. lets say wafanye covering ya east africa yote..
 
Mkuu naomba uorodheshe game za strategy unazozipenda maana na mm napenda hizo pia kuliko action

Ikiwezekana naomba na links kbs

huwa pc haina games nzuri za strategy, games nzuri utazikuta kwenye console hasa za nintendo.

mimi game ninalolipenda kuliko lote ni fire emblem kwenye series yake inaanzia kipindi cha nes, snes kuja gameboy advance, nintedo 3d kuja gamecube hadi nintendo wii kote utayakuta na ili ucheze kwenye pc itabidi ufanye emulation.

download dolphin na emulator nyengine hapa
The Emulator Zone - Dolphin

ila ku emulate gamecube na nintendo wii kwa dolphin unahitaji pc yenye nguvu kidogo, kama pc yako haina nguvu achana na emulation.

download rom hapa
Fire Emblem Path Of Radiance ISO for GCN

muonekano wa battle ni kama huu
66764-Fire_Emblem_-_Path_of_Radiance_%28Europe%29_%28En,Fr,De,Es,It%29-3.jpg

hio website ya dolphin utapata na emulator nyengine na website ya rom utapata na rom nyengine so enjoy ulimwengu wa emulation.

kuhusu pc games
game lolote la pc hata likiwa na gb 50 unaweza lidownload kwa direct link kupitia oceanofgames
Ocean of Games

kwa pc hasa ambazo hazina nguvu nakushauri anza na final fantasy, so far wameport kuanzia 3 hadi 15 kama sjakosea,
3, 4, 4 afty, 5, 6 na 7 ni games ndogo sana hata kwa simu utaweza kuzicheza.

games nyengine nzuri za turn based strategy ni
-xcom enemy unknown
-kings bounty
-might and magic heroes series
-shadow run series
-age of heroes online[/B]
 
Asante sana Chief I will have to check nintendo games. Nintendo ipi ni nzuri mkuu? Sikuwahi kupay attention kwa hizi devices hapo kabla
 
need for speed most wanted na pes 2016 ni hatari sana
PES mpaka leo bado wapo? PES niliacha kucheza ile ya 2013, nilivohamia FIFA 13 nikahamia mazima.
Most Wanted nimecheza ila kuna sehemu ktk mashindano nikikimbiza gari, gari ikawa inazima. Kila nikijaribu naishia hapohapo tuu, mwisho wa siku nimeachana nayo kabisa.
 
Hakuna kitu naenjoy sana kama "Mortal Kombat X". waiting for "Rise of the tomb raider" very soon.
 
mo
PES mpaka leo bado wapo? PES niliacha kucheza ile ya 2013, nilivohamia FIFA 13 nikahamia mazima.
Most Wanted nimecheza ila kuna sehemu ktk mashindano nikikimbiza gari, gari ikawa inazima. Kila nikijaribu naishia hapohapo tuu, mwisho wa siku nimeachana nayo kabisa.
most wanted 2012 nimecheza now nakaribia kufka mwisho sha shoot down gari zote 10 .me kwangu inacheza vizuri kabisaa bila sheeda na pes 2106 ni nzuri na ina good graphic nzuri saana mchezaji unamuona kama alvo
 
Wanawakaribia fifa?
 
Nina kama miaka 7 hivi sijacheza game yoyote kabisa, though nina ahadi ya kurudi tena kutokana na raha niliyokuwa naipata. Kwa kipindi kile PC game hivi nilizikubali sana;

1. Hidden Dangerous
2. Project IGI 2
3. GTA - Vice City
4. Colin McRae Rally
5. Moto Combart
6. Moto GP

Nitarudi tena kwa nguvu sana muda si mrefu ....

halali yako kabisa kwa miaka 7 maana hayo magemu hayapo tena
 
sipenda call of duty sababu mtu haonekan nikiwa nacheza napenda mtu mzima aonekane kama max payne, red etc

gta v sijawai kuionana hata kucheza

far cry3 is the best

torent kuna kila gemu unalojua
 
Back
Top Bottom