Best PC games

Best PC games

Jaman na kwa android maana nikienda mkoan sipati raha ya games!!!
 
Asante sana Chief I will have to check nintendo games. Nintendo ipi ni nzuri mkuu? Sikuwahi kupay attention kwa hizi devices hapo kabla
Nilipo angalia picha haraka haraka nikajua sim 3... Ngoja nilisake hiyoo ndi game zangu
 
Daa nacheza game moja balaa sana..inaitwa Tom clancy rainbow six siege

Humo ndan hatar sana..kuna silaha nzito hakuna..full assaults za kufa mtu

Af mtoa mission ni yule maza anaitwa Angela Bassett
Nuksi sana
 
Wewe tu mi nipo Dar Ubungo jipange na external uje uchukue, iwe na free space kubwa maana kuna baadhi ya games zina 50GB

robbyl please, mimi pia niweke kwenye kundi la wahitaji ... binafsi si lazima ziwe latest sana coz mara ya mwisho nilicheza GTA, niruhusu nikutafute na kama kuna lolote natakiwa kulifahamu mapema zaidi ya hilo la kuwa na external yenye ujazo wa kutosha ..... nijulishe

Natanguliza shukrani zangu
 
Daa nacheza game moja balaa sana..inaitwa Tom clancy rainbow six siege

Humo ndan hatar sana..kuna silaha nzito hakuna..full assaults za kufa mtu

Af mtoa mission ni yule maza anaitwa Angela Bassett
Nuksi sana
Naomba link yake nidownload.... Naweza kucheza kwa usb pad kwny pc?
 
Mm nap3nda game za action lkn nyingi nlizodownload zinagoma kucheza kwa pad kwny pc zinataka nitumie keyboard
 
Mm nap3nda game za action lkn nyingi nlizodownload zinagoma kucheza kwa pad kwny pc zinataka nitumie keyboard
ila games za action za fps ambazo unakuwa na bunduki na kushoot watu ni vyema utumie mouse sababu accuracy ya gamepad ni ndogo sana
 
Wewe tu mi nipo Dar Ubungo jipange na external uje uchukue, iwe na free space kubwa maana kuna baadhi ya games zina 50GB
Mkuu,nitanie minimum specs za desktop ili niweze kucheza hzo game,na pc ipi ninunue,tatu na mm nahitaji hzo games,naweza kupata?
 
Daa nacheza game moja balaa sana..inaitwa Tom clancy rainbow six siege

Humo ndan hatar sana..kuna silaha nzito hakuna..full assaults za kufa mtu

Af mtoa mission ni yule maza anaitwa Angela Bassett
Nuksi sana
Lina offline missions?
 
Back
Top Bottom