Best PC games

Best PC games

Kwangu mimi ni kama hivi
1. Call Of Duty 3 na 4 pamoja na COD special force.
2. Assasin Creed 2 na 3
3. Need for speed most wanted.
4. Ghost recon
Haya magame utayafaidi ukiwa na processor ya maana. Tupia yako pia.
Thanks to skidrow kwa kuniwezesha kucheza kila game.
Nawezaje kupata Need for Speed
 
Nimeiona mkuu ila kulipqta tatizo kwangu Mara key tatizo marq drsgkfbktjf dil missing full shida
hamna key hapo... mi ndo nalitumia.. we download likiisha install ila sema unapo install lazima data iwe on usizime mtandao mpaka utakapoweka finish.. kingine weka tiki kwenye commetators wote.. usiache hata mmoja!!!
 
Shukrani mkuu likinishinda itabidi nikutafute upo mkoa gani kaka?
 
daah kwa sasa nipo mbali kidogo.. nipo tanga mitaa ya bombo huku.. ila halikushindi..!!!
sema kingine hakikisha una u-torrent kwenye pc yako.. ndo tunatumia kudownloadia..!!!
Pamoja mkuu hakika sitashindwa utorrent nijayo hapa ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom