Best PC games

Best PC games

Upo pande zip mkuu nmejaribu kudownload ila linanishinda
Kama una gb nne za data nipe email yako nikutumie link. Nimelishusha jana repack lina gb3.4
Lipo fresh sana ila pia utatakiwa kuweka na patch ina kama mb 220 ili ulifaidi vizuri.
 
Kama una gb nne za data nipe email yako nikutumie link. Nimelishusha jana repack lina gb3.4
Lipo fresh sana ila pia utatakiwa kuweka na patch ina kama mb 220 ili ulifaidi vizuri.
Mkuu shukrani sana yan dah utakuwa umenisave gb4 sio tatizo zitapatikana tu nkuchek pm au??
 
Need for speed for the run...ntaipataje wadau maana Kila nikidanlod inanikatalia kucheza
 
Habari zenu wana tech wenzangu me naitwa hancy designer na Nina channel yangu inayouitwa HANCY TV nilikua nahitaji kupata views kwenye video zangu kwaiyo naombe msahada wenu nimejalibu Google keyword lakini lakini no lazima ulipie naombeni msahada kama kutakuwa kuna njia nyingine
 
Dimitri once again you cheat death
Wazee wa call of duty at war watanielewa sana
Mkuu, huyu mzee anaitwa Reznov.

They want to kill us Dimitri, once again they failed, once more we cheat death 'Kama broken mnisamehe'

Huyu mzee alinikosha kwenye Mission flani hivi wenzenu wengi wamekufa kisha yeye anakuwa hai kisha anakwambia ssshhhhh!!!

Baada ya hapo mnaanza taratiibu kwenda kumuua yule kiongozi wa Kijerumani.

Kama sikosei ni Call of Duty 5.


KWA MTU YOYOTE ANAYEHITAJI CALL OF DUTY 5 ANIONE.
 
Back
Top Bottom