Best PC games

Best PC games

hata battlefiel nimecheza kama mawili wako vizuri nao
Nilicheza kitu kama demo hivi, ni nzuri sana ila binafsi hizi Games za vita na mission kwa sasa sijaona mpinzani wa Call Of Duty, muda si mrefu nataka nihamie Battlefield.
 
mimi games zangu ni za strategy tu napenda sana turn based games, nacheza age of heroes online (aoho), ancient empire, fire emblem, final fantasy, xcom enemy unknown, etc pia nacheza kidogo mpira tena PES tu, Fifa silipendi halina super Heroes

pes silipend maisha, goli unafunga robo uwanja
 
mi pia fifa silipendi wanadharau role za wachezaji wenye speed, chenga na skills nyengine bila kufanya build up hushindi kwenye fifa, timu kama Man u ya fergie, dortmund, na wengine huwezi kuzi simulate kwenye fifa, wao wanaona kila timu ni barcelona pasi tu.
 
Mm fifa nacheza career kama manager naunda kikosi changu mwnyw ndio nafurahia kucheza aina ya mpira naotaka haswa ukianzia fifa 15 na kuendelea
 
hata pes inayo, na kwa muono wangu best career mode ipo pes 13 ambayo unaweza kuskip match, sababu inaboa kucheza mechi 50 kila msimu. unacheza tu mechi kubwa kubwa wakati zile ndogo ambazo hazina msisimko una skip,
 
Hata fifa kuna option ya simulation game inakuwa kama imechezwa
 
mi pia fifa silipendi wanadharau role za wachezaji wenye speed, chenga na skills nyengine bila kufanya build up hushindi kwenye fifa, timu kama Man u ya fergie, dortmund, na wengine huwezi kuzi simulate kwenye fifa, wao wanaona kila timu ni barcelona pasi tu.
Ila chief naonaga ka pes sura za wachezaji wanalipua sana. Afu kama pes2016 nashangaa bundersliga haipo.
Tatizo la fifa nalo viwango wanaweka vikubwa mno kuweza kurun game.
 
Wazeiya...mwenye callofduty blackops2 ya ps3......naomba ani pm
 
Ila chief naonaga ka pes sura za wachezaji wanalipua sana. Afu kama pes2016 nashangaa bundersliga haipo.
Tatizo la fifa nalo viwango wanaweka vikubwa mno kuweza kurun game.
pes hawana license nyingi, kueka hivyo vitu vinavyomiss download pes edit na patch husika halafu vieke mwenyewe
 
Haichukui dakika moja simulation ya fifa
still dakika 1 ni kubwa humalizi msimu ndani ya nusu saa, kwa pes 13 ni sekunde au chini ya sekunde just click skip inakupa matokeo kutokana na ubora wa kikosi,

unaweza ukaona ni kitu cha kijinga ila inasaidia sana mechi za kijinga sijui FA, au timu ndogo ndogo za ligi unaskip tu unapewa matokeo unaendelea mbele.
 
pes hawana license nyingi, kueka hivyo vitu vinavyomiss download pes edit na patch husika halafu vieke mwenyewe
Nimejaribu kutafuta hizo patch nikiweka zinagoma inasema cannot read edited data because data is from defferent version. Yani niliweza kubadili jezi, logo na majina ya team basi.
 
nitajie game lako na version nikutafutie patch
 
Pes 2016 version 1.01.00.
Pia unaomba unisaidie patch ambayo iko full nipate hadi ligi ya bundersliga na latest transifer.
CHIEF MKWAWA
 
Back
Top Bottom